Star Link yaanza kupigwa vita na makampuni ya simu isije Tanzania

Hili mimi nililitarajia mapema sanaa, kama ambavyo kuna hujuma kwenye kusambaza vituo vya magari ya kutumia gesi ili kundi fulani la waagiza mafuta liendelee kutunyonya na bei kubwa za mafuta ya magari. Ushauri wangu ni kwamba TTCL watafute namna ya kuingia ubia na huyu Elon Musk kwenye hii kitu, hapo watawaweza hao wahuni wa makampuni ya simu kwa sababu TTCL ni serikali.
 
Gharama zikiwa kubwa si unaenda kwenye makampuni ya simu? Acheni kushabikia monopoly.
 
Katika kampuni ambayo imejichokea ni TTCL hadi huruma
Nina miezi 6 sasa, nahangaikia laini zao. Hazipo, nilifika hadi Arusha napo hakuna
 
Wakumbuke kipindi wanaiba kura walifunga mitandao, lkn watu walipata alternative kirahisi tu.
Acha wakomae na hizo analogia zao si muda mrefu tutapata ma bando free of charges.
Chezea teknolojia....
 
Mzee fanya kama mwakyembe taja hao watu hukificha wanajua hawajafahamika.
 
Pole Mwamba najua umeumia Ila huo ni Mpango wa CIA Kwenye program Yao kupambana na Beijing katika Technology hivyo hapo wanahonga kupitia kampuni za simu zilizopo Tz kuitisha vikao vya Siri na Wafanyakazi wa Umma watumie NGUVU kubwa kuikataa hiyo kampuni Maana ikiingia Share holder wa kampuni hizo wenye interest na USA watafilisika maana kampuni hiyo Ikipenya itaua Technology ya USA na Mfumo wa Upelelezi wao.
Si Unajua HUAWEI imepigwa ban USA.
 
Mtu anatiwa ndani na nahakikisha hatoboi. ๐Ÿคฃ Atapigwa Pollonium tu akiwa jela. Akitoka nje miezi 6 mingi lazma alambe futi 6! Hivyo ndo namna ya ku deal na wasaliti.
 
Wote waliotajwa wamevimbirwa tuu.


Nasi tunapenda mavitu makubwa tu wakati matumizi yake yanaweza kuwa ya kihasara hasara...Sidhani kama tunatumia teknolojia iliyopo at full capacity pompous!
What is the full capacity mzae? Kila mtu anatumia internet kwa kiwango chake. Huwezi mpangia mtu atumieje data.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚What is the full capacity mzae? Kila mtu anatumia internet kwa kiwango chake. Huwezi mpangia mtu atumieje data.
Bill Gates kupitia computer 4 Africa alimwaga kila aina ya kompyuta Barani Afrika na kama sikosei hata hapa kwetu Tanzania tulifaidika na aina fulani ya misaada hiyo, iwe ni zile Desktops au laptops n.k . Nafikiri tunaweza kubaliana kuwa matamanio ya wote,yaani Bill na Serikali yetu ni kuona Wananchi/Wanafunzi au wale waliokuwa mbali na miji wanapata Taarifa kupitia hii Internet pamoja na faida zake zingine zinazokuja na teknolojia hiyo. Kwa kifupi, mathalani Katiba yetu ingekuwa ipo Digital au ipo digital hivi unataka kuniambia unahitaji miaka mitatu kuisoma na kuilewa? pointi ni uwepo wa hii teknolojia halafu ndio unakuta haijatumiwa at Full capacity, sawa na teknolojia nyingine kama kulima kwa pembejeo za kuswagwa na Ng'ombe na bado tukashindwa kufikia capacity ile ambayo wenzetu walitumia kufika walikofika katika ukulima hadi uzalishaji wa ghafi zake. Sasa leo hii unataka Starlink? Na sisemi hakuna uhitaji, nasema, Je, tumetumia hata hizo fiber or what have you za kurusha na kupokea mawasiliano ya Internet to a capacity tukasema , 'we have made strides' tunataka hiyo starlink kwa nini? Kuleta ushindani? Kupunguza bando tu?

Sasa tukirudi kwenye huo utumiaji wa Data, akija starlink atabadilisha nini? Serikali inatumia haya mabando kuhakikisha ina control Information-naweza kusema ni strategy mpya na effective kuliko ile ya kuzima internet kabisa-unasoma bandiko lako moja JF kwishney!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
tulishaambiwa 2025 tuchague viongozi vizuri, tuchague wale watakaotusaidia, hawa wasiotusaidie tangu tumeanza kulia suala la bando, tuwaweke pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ