niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 22
Leta elimu hiyo...Mbona kwenye usumbufu haujasema kitu? Anyway,wenyewe wame enable bila kutangazia watu wao ndio wameiba na watu ni watafiti wamgundua na wanatumia matunda ya ugunduzi wao.
Wana jf mtakuwa ama mumeona au hata kununua vingamuzi (decoder) na antena za kampuni ya star times ambayo ni mshiriki wa tbc katika mambo ya tv. Jirani yangu alinunua decoder hiyo kwa shs. 79,000.= na akaelekezwa namna ya kufunga na kuanza kutumia/kupata picha. Kifupi ilimchukua siku 9 (baada ya kutemebelea duka lao mara 4 pale msimbazi road karibu na polisi station) ndipo alipoanza kuona picha. Kifupi wale pale wanakuuzia na nadhani hawapeleki taarifa huko tbc mwenge ambako naambiwa ndo hasa wana "activate" decoder ile. Swali: Kwa nini wanakuwa wazembe kiasi hicho. Kwa nini wanamuibia mteja kwa kutomuwezesha kuona tv kwa siku 9? Kibaya zaidi ukipiga nmaba za customer care hakuna hata moja inayopokelewa na unapojaribu kuongeza airtime pia simu zao hazifanyi kazi. Jamani wachina na tbc ya mheshimiwa sana wa wizara ya habari...
Mimi waliniuzia mchina orijino ikabuma baada ya mwezi niliporudi kaunta hawakunipa maelezo zaidi ya kunipatia king'amuzi kipya.
ila nikashangaa hata nilipowauliza tatizo hawakuwa tayari kunijibu.
Teheee teheee, mimi Chanel 10 nasikia Tv na radio Magic hapo hapo kwa pamoja na nikiondoa kwa njia ya kawaida inakataaa, nimeenda pale Msimbazi wameniambia nipeleke kile king'amuzi mikocheni wanibadilishie au wanitengeenezee wanasema inawezekana kikawa kibofu nilinunua mwezi wa 5! Jamaa uhuni mtupu, channel zenyewe full kuscrachi.
mie mwenzenu wa wapi , nimeinunua leo ila mpk muda huu inasumbua wala cpati channel yeyote, nikijaribu automatic search inasema reseived channel is 0, channel list is empty, ht nikijaribu process za manual kupata hiyo itv na eatv nayo sipati kitu, hapa nataka kesho niende tena kastama kea nikawaelezee tatizo langu, any help plz b4 cjaenda huko?? ... mie niko mwanza , maeneo ya chuo SAUT, malimbe
Nitaenda kuijaribu hii, vipi kuhusu StartvSetup ni kuwa
1.Click Menu button kisha down arrow key mpaka kwenye Item ya nne itakupatia Two Options,Manual and Automatic
2.Click right arrow key ili uende kwenye hizo options kisha uwe kwenye Manual options.
3.Click OK kisha bonyeza 530 kisha Click OK.
4.Ita search na kuonyesha 12channels found.
5.Exit mpaka kwenye Menu kisha ITV,EATV zitaonekana
6.Ukiona ITV na EATV havina sauti bonyenya Track button chini ya Power button kwenye Remote yako mpaka utaona sauti inapatikana.
&.Waambie na wengine.
Nakutakia kila la heri
Nitaenda kuijaribu hii, vipi kuhusu Startv
Kingamuzi hakisumbui na kinaonyesha vizuri ila mi kidogo sikukipenda kwa kuwa sikuwa naweza kukitumia kuona EATV na ITV.
Thanks trace kwa shule