niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 22
mie mwenzenu wa wapi , nimeinunua leo ila mpk muda huu inasumbua wala cpati channel yeyote, nikijaribu automatic search inasema reseived channel is 0, channel list is empty, ht nikijaribu process za manual kupata hiyo itv na eatv nayo sipati kitu, hapa nataka kesho niende tena kastama kea nikawaelezee tatizo langu, any help plz b4 cjaenda huko?? ... mie niko mwanza , maeneo ya chuo SAUT, malimbe