STAR TV: Mahojiano maalum na Yericko Nyerere

Yericko ameshindwa kujibu swali la kwanza kajichanganya, Mwandishi alimbana halafu akampotezea na kuendelea na maswali mengine.
Kuna tofauti kati ya Mwanaharakati na Mwanasiasa, Taasisi za Kiharakati na Vyama vya Siasa.
 
Kuna jibu ulikuwa nalo na ulitaka nijibu mkuu?
 
Back
Top Bottom