STAR TV: Mahojiano maalum na Yericko Nyerere

STAR TV: Mahojiano maalum na Yericko Nyerere

Kuna jibu ulikuwa nalo na ulitaka nijibu mkuu?
Hapana, Mwandishi alivyomnukuu Prof Lumumba kwamba hata CCM ni chama cha Kiharakati, tofauti na ulivyoongea wewe kwamba ni vyama vya upinzani tu ndo vinakuwa vya kiharakati ambavyo havina Dola.
Labda kwa uelewa mpana tujue Harakati ni nini ? Je chama kinaweza kuwa cha kiharakati wakati tayari kimeshika Dola? Je ukishika Dola hustahili kuitwa Chama cha kiharakati? Madhumuni ni kutofautisha kwanini Chadema kinaitwa cha kiharakati wakati CCM kwa Ccm jina hilo linaonekane halifai? Ila kuna taasisi za kiharakati ambazo jukumu lao ni kukosoa na kuipinga Serikali iliyopo madarakani. Je harakati inatakiwa kuwa strictly kwa wasio kuwa na dola? Sheria ya vyama vya siasa inasema kuhusu maana halisi ya Vyama vya Siasa, na pia Sheria ya Mambo ya Ndani inatafsiri nini maana na majukumu ya Taasisi za kiharakati? Je muunganiko wa vyama vya siasa yaani Mwanasiasa na Taasisi au vyama vya kiharakati kisheria unatoa tafsiri gani.
 
Back
Top Bottom