Star TV mnakwama wapi? Habari zenu zinaboa sana na hazina mvuto (sio habari za kichunguzi)

Joined
Aug 4, 2011
Posts
97
Reaction score
108
Naleta masikitiko yangu kama mtanzania juu ya kituo Cha habari Cha Star Tv vhenye makao yake Mwanza Tanzania.

Hawajui kusoma alama za nyakati.

Uandaaji wa habari zao ni wa kiwango Cha chini sana ukilinganisha na vituo vingine vya television nchini.

Ukiangalia habari ya Azam ni habari nzuri zenye mvuto na ukiikosa habari ya Azam angalau kidogo utatazama habari ya ITV.

Habari za Star TV zinajielekeza kwenye "watanzania washauliwa" ' wananchi wamehaswa" " wananchi wameelekezwa" kiujumla hizi sio habari Bali ni habari zinazoboa sana watazamaji.

Tunahitaji habari za uchunguzi kama Azam wanavyofanya.

Mfano wa Azam wanavyofanya ni kuhoji wahusika,wanakwenda na latest news na upepo wa watazamaji wao.

Star TV wao wako kwenye habari za baraza la madiwani,mwenge wa uhuru, vyumba vya madarasa na ujenzi wa zahanati kwenye Kijiji fulani.

Badilika Star TV Habari zenu zinaboa kiukweli, jifunze kupitia Azam tv na habari zao Zina mvuto na zinakosha watazamaji wao Kwa kiasi kikubwa.
 
Naleta masikitiko yangu kama mtanzania juu ya kituo Cha habari Cha Star Tv vhenye makao yake Mwanza Tanzania. Hawajui kusoma alama za nyakati.Uandaaji wa habari zao ni wa kiwango Cha chini sana ukilinganisha na vituo vingine vya television nchini. Ukiangalia habari ya Azam,ni habari nzuri zenye mvuto na ukiikosa habari ya Azam angalau kidogo utatazama habari ya ITV.
Habari za Star Tv zinajielekeza kwenye "watanzania washauliwa" ' wananchi wamehaswa" " wananchi wameelekezwa" kiujumla hizi sio habari Bali ni habari zinazoboa sana watazamaji. Tunahitaji habari za uchunguzi kama Azam wanavyofanya.Mfano wa Azam wanavyofanya ni kuhoji wahusika,wanakwenda na latest news na upepo wa watazamaji wao.
Star tv wao wako kwenye habari za baraza la madiwani,mwenge wa uhuru, vyumba vya madarasa na ujenzi wa zahanati kwenye Kijiji fulani
Badilika star tv habari zenu zinaboa kiukweli, jifunze kupitia Azam tv na habari zao Zina mvuto na zinakosha watazamaji wao Kwa kiasi kikubwa.
Kumbe Azam wako vizuri,
ITV pia wako vizuri,

Iweje utake habari ya StarTV?
 
Naleta masikitiko yangu kama mtanzania juu ya kituo Cha habari Cha Star Tv vhenye makao yake Mwanza Tanzania.

Hawajui kusoma alama za nyakati.

Uandaaji wa habari zao ni wa kiwango Cha chini sana ukilinganisha na vituo vingine vya television nchini.

Ukiangalia habari ya Azam ni habari nzuri zenye mvuto na ukiikosa habari ya Azam angalau kidogo utatazama habari ya ITV.

Habari za Star TV zinajielekeza kwenye "watanzania washauliwa" ' wananchi wamehaswa" " wananchi wameelekezwa" kiujumla hizi sio habari Bali ni habari zinazoboa sana watazamaji.

Tunahitaji habari za uchunguzi kama Azam wanavyofanya.

Mfano wa Azam wanavyofanya ni kuhoji wahusika,wanakwenda na latest news na upepo wa watazamaji wao.

Star TV wao wako kwenye habari za baraza la madiwani,mwenge wa uhuru, vyumba vya madarasa na ujenzi wa zahanati kwenye Kijiji fulani.

Badilika Star TV Habari zenu zinaboa kiukweli, jifunze kupitia Azam tv na habari zao Zina mvuto na zinakosha watazamaji wao Kwa kiasi kikubwa.
Habari zao ni mwanza mwanza
 
Kwangu mimi, Star TV ni kituo kimoja bora sana. Period!
 
Back
Top Bottom