Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nimemuuliza, Dr. Abbas akajibu sii kweli kuwa serikali inachukulia poa, serikali iko very serious ndio maana imefunga shule zote na vyuo vyote.
Dr. Abbas amesisitiza hatuwezi kukurupuka kufunga mipaka kwa kuiga.
Kila nchi inadeal na Corona kwa namna yake inayofit mazingira yake.
P
Asante Mkuu Alex Fredrick, CNN ni shirika la kibeberu, hivyo Tanzania inaonekana kama nchi ya kijamaa, hivyo wako Kenya na Uganda.
Ni kweli hata mimi niliitamani hiyo kazi, ila kwa bahati mbaya sana, nilisoma primari enzi za UPE, hivyo ngeli yangu kwa levels za CNN ingegomba.
Japo kwa sasa kupitia jf, ngeli imeipruvu pruvu kidogo, lakini umri ndio hivyo tena, nimeishakata 50 naitafuta 60!.
P
we si ulisema/uliandika umeachana na JF?Wanabodi
Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona.
Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendo kutokea Mwanza, Dr. Hassan Abbas atazungumza kutokea Dodoma, na kwa upande wa Dar es Salaam, nitakuwepo mimi.
Kipindi hiki ni interactive, wana jf wenye hoja muhimu za kumuuliza Dr. Abbas, unaoweza kuuliza humu na mimi nikamuuliza.
Karibuni sana.
Paskali
Huyu ni jike lililotoka CDM likapewa ka ukuu fulani hivi......Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, kiukweli Dr. Abbas yuko vizuri, baada ya Dr, Waziri wa Habari, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe pia ataalikwa na kisha Naibu Waziri, Mhe. Juliana Shonza pia wataalikwa.
P
Mwenye akili timamu hawei kumsikiliza huyu ambaye anasikiliazia Jiwe anataka nini na yeye ndiyo aseme.... Rubbish! Nchi iko kwenye lockdown ya udikiteita, kila akili imefungwa. Sisi tulioishi wakati wa Idd amin tunaelewa maana ya maisha katika udikiteita, tena wa kuuana kama Idd Amin! Watu wote ni misukule including you and I and to the extreme end walamba matako wa Jiwe Pascal MayallaWanabodi
Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona.
Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendo kutokea Mwanza, Dr. Hassan Abbas atazungumza kutokea Dodoma, na kwa upande wa Dar es Salaam, nitakuwepo mimi.
Kipindi hiki ni interactive, wana jf wenye hoja muhimu za kumuuliza Dr. Abbas, unaoweza kuuliza humu na mimi nikamuuliza.
Karibuni sana.
Paskali
Duh...!. Mkuu Alex Fredrick...Duh...!.Hiyo hoja ya kijamaa kidogo nakuelewa lakini kuhusu lugha ya mama sio tatizo kabisa maana umetoka Ilboru pia tambaza ambazo hizo sehemu miaka hiyo ngeri sio tatizo lakini umekuwa mshauri wa Balozi wa UK Nchini kwenye masuala ya Siasa Mkuu. Pale Tambaza lazima ulifundishwa na Mama Naomi Kaihura
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu the Retired, mimi namshukuru sana Mungu kunibariki na kunijalia uwezo wa kutokasirikika hata nitukanwe vipi, huwa nakongoli kitufe cha like, kama nilivyo kukongolia na nikipata fursa pia nakujibu kwa asante.Mwenye akili timamu hawei kumsikiliza huyu ambaye anasikiliazia Jiwe anataka nini na yeye ndiyo aseme.... Rubbish! Nchi iko kwenye lockdown ya udikiteita, kila akili imefungwa. Sisi tulioishi wakati wa Idd amin tunaelewa maana ya maisha katika udikiteita, tena wa kuuana kama Idd Amin! Watu wote ni misukule including you and I and to the extreme end walamba matako wa ... Pascal Mayalla
Yes nilisema naacha jf kwa timed conditional precedent kuwa ifikapo saa 4:00 asubuhi baada ya kumpata Polepole kwa kujiunga CCM na kukabidhiwa kadi yangu ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini very unfortunately hadi saa 4:00 asubuhi ilipita, sikufanikiwa kumpata Polepole, hivyo CCM bado sijajiunga, uandishi sijastaafu na jf bado nipo nipo huku juhudi za kumtafuta Polepole zikiendelea. Nikimpata nikakabidhiwa kadi yangu ya CCM, nitaaga na kwenda kuwatumikia wananchi.we si ulisema/uliandika umeachana na JF?
Saa nne mchana ya mwisho wa siku ya wajinga. Nilikupata vema. Uandishi wa habari ni fani na burudani of some sort.. kuacha ni sawa na kusema kuanzia leo sitavuta oxygen! and then what are the consequences of oxygen depletion...?Yes nilisema naacha jf kwa timed conditional precedent kuwa ifikapo saa 4:00 asubuhi baada ya kumpata Polepole kwa kujiunga CCM na kukabidhiwa kadi yangu ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini very unfortunately hadi saa 4:00 asubuhi ilipita, sikufanikiwa kumpata Polepole, hivyo CCM bado sijajiunga, uandishi sijastaafu na jf bado nipo nipo huku juhudi za kumtafuta Polepole zikiendelea. Nikimpata nikakabidhiwa kadi yangu ya CCM, nitaaga na kwenda kuwatumikia wananchi.
P
Pascal, sina frustrations...... hata kidogo. Labda frustrations nilizonazo ni kuona Jiwe anaua watu! anaua demokrasia, anaua mahakama, anaua sheria, katiba..... anaua bunge etc....hilo kweli linanipa shida na majonzi makubwa na kuwa na frustration.....! BASI ZAIDI YA HAPO SINA FRUSTRATIONS ZA MAISHA. Nipo kama akina Fatuma Shangazi, Sarungi Maria and the like! Nipo kama Lisu, Msigwa etc.....Mkuu the Retired, mimi namshukuru sana Mungu kunibariki na kunijalia uwezo wa kutokasirikika hata nitukanwe vipi, huwa nakongoli kitufe cha like, kama nilivyo kukongolia na nikipata fursa pia nakujibu kwa asante.
Japo sijaingia darasa lolote kusomea somo la saikolojia, ila kupitia kusoma tuu vitabu ninaelewa, hivyo ninapokutana na watu wanaotumia lugha kali, kutukana watu kuwa wenzao hawana akili timamu, michango ya watu kuiita rubbish, kuwaita watu misukule na walamba mata.o etc, huwa nawaelewa na to be honest it's good for you and for your mental health to ease the tension kwa kutukana na kutema nyongo zote kwa kuziandika, maana zinatoka, kuliko kukaa nazo moyoni, hivyo keep up, mimi nitaendelea kuzipokea na kuzi accommodate to help you ease up your tension, don't worry, be happy.
P
................................wa ITviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,, finyanga na huyo PascalDuh...!. Mkuu Alex Fredrick...Duh...!.
Kiukweli watu mna data!.
Naomba nisiongeze kitu!.
Thanks, naomba kukiri uudhaifu wa media ya Tanzania ni wavivu kuchangamkia fursa, mimi pia nikiwemo.
Ile miaka ya 60s, Tanzania ndio nchi ya kwanza kuitangaza lugha ya Kiswahili kuwa ni lugha yake ya taifa. Nchi zote duniani zilizotangaza Kiswahili zilichukua watangazaji kutoka RTD tukianzia na
BBC Swahili, VOA, DW Radio, Radio Moscow, RFI, All India Radio, NHK of Japan, Sauti ya China, Sauti ya Kenya, Transvaal Radio, na waalimu wa Kiswahili wote walitoka Tanzania.
Baada ya miaka kadhaa, Kenya ilitupiku, sasa Kenya ndio inchi inayoongoza kwa kutoa Watangazaji wa Kiswahili Africa na waalimu wa Kiswahili dunia nzima na Kiswahili chao hicho hicho kibovu, broken Swahili, na kutoa Watangazaji 2 kwenye CNN wakati sisi Watanzania tumelala tuu!. Huu ni uzembe wetu including me!.
Poor we. But it's not too late, kinachotakiwa kwa watu kama mimi sasa at 50+ sio kulalamika what we did not do, but kuvumbua vipaji tuwafinyange vizuri vijana, tupeleke watu wetu CNN.
P
Hilo Pascal hatajibu!..muulize ni nini mantiki ya kufunga shule na kuwatoa waalimu makazini, na wakati huohuo kuwahimiza wafanyakazi wa sekta nyingine kuchapa kazi zaidi?
..Je, ina maana wanafunzi na waalimu hawawezi kujikinga? Au serikali haina uwezo wa kuchukua hatua za tahadhari ktk mashule na vyuo vyetu?
Mkuu Retired, mimi sipaswi kujibu, haya ni maswali kwa Msemaji Mkuu wa serikali, Dr. Hassan Abbas, nitamfikishia, na atayajibu live next Saturday, saa 1:30-3:00 Star TV.Hilo Pascal hatajibu!
Nakuheshimu kwa hilo.Pascal, sina frustrations...... hata kidogo. Labda frustrations nilizonazo ni kuona Jiwe anaua watu! anaua demokrasia, anaua mahakama, anaua sheria, katiba..... anaua bunge etc....hilo kweli linanipa shida na majonzi makubwa na kuwa na frustration.....! BASI ZAIDI YA HAPO SINA FRUSTRATIONS ZA MAISHA. Nipo kama akina Fatuma Shangazi, Sarungi Maria and the like! Nipo kama Lisu, Msigwa etc.....
Mkuu Retired, sisi waandishi wa habari wa Tanzania tuna bahati moja mbaya ya wote kuwekwa kwenye tenga moja la samaki, hivyo samaki mmoja akioza, wote tunahesabika tumeoza, hili nalikukubali na siwezi kukwepa lawama.................................wa ITviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,, finyanga na huyo Pascal
Pascal nikwambie kitu, kwa hali nchi ilipofikia na waandishi wa habari mnavyobehave mbele ya Jiwe na udikiteita wake, hamtakaa mkaheshimika kabisa na kumfinyanga mtu katika International scenes za uandishi wa habari na mkawa admired na media za nje. Kwanini? Tunawategemea muandike na objectivity bila kupendelea, kukemea udhalimu huu, kukosoa wakosaji, kukemea wavunja sheria etc... lkn mnakemea Upinzani tu! eti Bulaya alikwenda kuvamia gereza....clips za scene mlizona hakuna aliyezijadili katika maandishi yenu.....lkn mnausifia kama wewe unavyousifia. Mjue watu wanawaona na wana keep records!
Niseme ukweli breavity yako katika uandishi wa habari was realised that day! Lilikuwa swali la mtu mwenye courage, weledi, ufahamu, ujuzi wa hali ya juu! Na Pascal umekuwa hivyo huko nyuma, you were super! Akina Jeff Koinange hawakuzidi kitu ni kuwa wako wawazi na objective.... Ni juzi tu umegeuka kuwa ambaye siyo Pascal tunayemjua.nimeuliza maswali magumu hadi ikulu
Pamoja na kustaafu naona bado uko nasi labda kwa mkataba, karibu. Kumfundisha mtu yeyote lugha yako lazima ujue lugha yake au lugha nyingine mnayoijuwa wote wawili. Kujua Kisukuma tu huwezi kumfundisha Kiswahili Mwingereza au Mjerumani au Mjapani labda kama wanajua Kisukuma. Bahati mbaya sana licha ya kuwa na lugha zetu zaidi 120 na Kiswahili, hatujui lugha nyingine za kutuunganisha na walimwengu kwa hiyo hatuwezi kuwafundisha Kiswahili. Hata Kiswahili kipo tu Zanzibar huku bars tuna cha mtaani (Creole) ambacho hakuna anayekitaka. Sasa Kiswahili kizuri kiko Kenya na Rwanda ndo wanafundisha ulimwenguni. Hata TBC sasa siyo chanzo cha watangazaji wa radio za kimataifa kama zamani. Wachache walioko BBC, VOA, DW etc wameajiriwa hukohuko bila kupelekwa na media houses zetu kama zamani. Pascal kuwa Star TV ndo mahali pake.Duh...!. Mkuu Alex Fredrick...Duh...!.
Kiukweli watu mna data!.
Naomba nisiongeze kitu!.
Thanks, naomba kukiri uudhaifu wa media ya Tanzania ni wavivu kuchangamkia fursa, mimi pia nikiwemo.
Ile miaka ya 60s, Tanzania ndio nchi ya kwanza kuitangaza lugha ya Kiswahili kuwa ni lugha yake ya taifa. Nchi zote duniani zilizotangaza Kiswahili zilichukua watangazaji kutoka RTD tukianzia na
BBC Swahili, VOA, DW Radio, Radio Moscow, RFI, All India Radio, NHK of Japan, Sauti ya China, Sauti ya Kenya, Transvaal Radio, na waalimu wa Kiswahili wote walitoka Tanzania.
Baada ya miaka kadhaa, Kenya ilitupiku, sasa Kenya ndio inchi inayoongoza kwa kutoa Watangazaji wa Kiswahili Africa na waalimu wa Kiswahili dunia nzima na Kiswahili chao hicho hicho kibovu, broken Swahili, na kutoa Watangazaji 2 kwenye CNN wakati sisi Watanzania tumelala tuu!. Huu ni uzembe wetu including me!.
Poor we. But it's not too late, kinachotakiwa kwa watu kama mimi sasa at 50+ sio kulalamika what we did not do, but kuvumbua vipaji tuwafinyange vizuri vijana, tupeleke watu wetu CNN.
P
Tofauti ya mijadala serious kama huu na mazungumzo ya vijiweni ndipo hapa inapoanzia, sisi waandishi tunaambiwa to report nothing but the truth, you can not say, write anything about anyone unless you're absolutely sure about it. Are you sure ni yeye anaua watu au ni hisia tu?.Nakubaliana na wewe kuwa Patriotic objective, lakini patriotism si kwa mtu anayeua raia alio apa kuwalinda! Hapo ndipo tunapopishana.
Hili swali niliuliza na lilijibiwa vizuri.Muulize kwamba, ni hatua gani iliyochukuliwa na serikali juu ya Makonda kumtangaza mgonjwa?