Tofauti ya mijadala serious kama huu na mazungumzo ya vijiweni ndipo hapa inapoanzia, sisi waandishi tunaambiwa to report nothing but the truth, you can not say, write anything about anyone unless you're absolutely sure about it. Are you sure ni yeye anaua watu au ni hisia tu?.
Kwenye hili, naomba tukubaliane kutokukubaliana.
Kuna story ya rais mmoja wa nchi fulani alikuwa mkali, anaogopwa sana. Akawa kila akiitisha press conference kuna mwandishi mmoja makini, anambananisha kwenye kona.
One day rais akasema huyu mwandishi anikera sana kwa maswali yake. Basi wale jamaa wakaingia kazini.
Next press conference ya rais, kumbe japo alikuwa na maswali ya kuudhi, he was the only one who ask president swali. Rais alipoingia ukumbini kabla hajahutubia hiyo press conference, aka angaza hamuoni jamaa. Akamuulizi kwa sauti, where is my friend so and so?.
Rais akasema ingawa huyu jamaa ana maswali ya kuudhi, but I have grown to be found of him, na maswali yake, yamenifanya niwe well prepared before meeting the press, hivyo sianzi hii press conference mpaka fulani aje, akatoa amri gari ya rais ikamfuate imlete ndipo press conference iendelee.
Head wake wa wale jamaa zake akamnongoza rais kuwa huyo jamaa hayupo tena, he has already been taken care of a day before ili asije kukukera tena!.
President was surprised asked who ordered that and who did that and why?. The president broke into tears na press conference haikufanyika tena!.
Ujumbe ni kuwa, sio kila kitu kinachofanyika ni amri kutoka juu, au yeye anajua. Hata mimi tenda zangu serikali zilipofutwa, na kuzuiwa kutangaza maonyesho ya Saba Saba, nimeelezwa ni amri tuu kutoka juu, but kuna mtu wa huko huko amenihakikishia hakuna kitu kama hicho wala usikute hata jamaa hajui chochote kinachonikuta.
Hivyo usikute hata Ben Saanane, Azory Gwanda au wale wasiojulikana wa Lissu, the man doesn't know a thing, hivyo usituhumu kwa hisia tuu.
P