Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Serikali tangu ianze kuendeshwa na jamii ya wachunga ng'ombe maamuz yake hata hayaelewekiTunaomba muulize Dr.Abasi, vipi swala LA serikali kufunga mipaka has a kipindi hiki cha corona? VIP swala LA kufungua shule Na vyuo? Pia je serikali haioni kuna umuhimu Wa kutenga bajeti mahususi kila secta katika kupambana Na corona kwa mfano wizara ya elimu pindi shule zikifungua?
Siri ndo chanzo cha kuenea kwa haya yote, sio siri tena TBC wamekumbwa Na janga hili, watangazaji wawekwe karantini.TUAMBIENI UKWELI KUHUSU WATANGAZAJI WA TBC KUFA KWA KORONA. Mfululizo consecutive
Mlenge unataka kusema nini? Unataka kusema mfumo wa maisha ya Watu wa Korea na mfumo wao wa Afya unafanana na wetu?
Wakikujibu nitagNaomba kumuuliza ndugu Faustine,kwa sasa tunaambukizana wenyewe kwa wenyewe kwa mujibu wa taarifa ya waziri Ummy
Je kuna uhakika gani kuwa kila mgonjwa anayepelekwa hospitalini amepimwa corona ili asije akachanganywa na wagonjwa wengine kwenye wodi
Maana unaweza kuta mgonjwa anaugua covid19 bila kujua akalazwa hospital kwenye wodi ya wagonjwa wengine,mmewekaje mazingira haya ili kuzuia maambukizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina ajenda yoyote, Nimerekebisha bandiko langu na India nimeitaja pia. Wewe unaangalia neno "Lock down" au tendo lenyewe na mazingira husika?And you cannot let minor stuff like truth interfere with your agenda?
Bro nafikiri swali lako la kuhusu kufunga mipaka lilishajibiwa na JIWE jana akiwa kwenye ibada ya ijumaa kuuTunaomba muulize Dr.Abasi, vipi swala LA serikali kufunga mipaka has a kipindi hiki cha corona? VIP swala LA kufungua shule Na vyuo? Pia je serikali haioni kuna umuhimu Wa kutenga bajeti mahususi kila secta katika kupambana Na corona kwa mfano wizara ya elimu pindi shule zikifungua?
Umechelewa mkuu tusubiri kufa kama kuku sahivi labda tufunge minyauTunaomba muulize Dr.Abasi, vipi swala LA serikali kufunga mipaka has a kipindi hiki cha corona? VIP swala LA kufungua shule Na vyuo? Pia je serikali haioni kuna umuhimu Wa kutenga bajeti mahususi kila secta katika kupambana Na corona kwa mfano wizara ya elimu pindi shule zikifungua?
Sina ajenda yoyote, Nimerekebisha bandiko langu na India nimeitaja pia. Wewe unaangalia neno "Lock down" au tendo lenyewe na mazingira husika?