Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hata sasa nipo nyumbani. Kwani wewe umelazimishwa kutoka?Baki wewe nyumbani ,umelazishwa kutoka?
Hata sasa nipo nyumbani. Kwani wewe umelazimishwa kutoka?Baki wewe nyumbani ,umelazishwa kutoka?
Ukiangalia nchi ulizozitaja wapo zina wananchi wastaarab na wanafuata sheria direct. Ndio maana wamefanikiwa.
Its true maswali hayajajibiwa, muda ni mdogo ila nimeya forward yote.Nilifyatilia kipindi kwa dakika zote. Maswali yetu mengi hayajajibiwa, muda ulikuwa mdogo. Pascal Mayalla fuatilia majibu ya maswali, yapeleke kwa Dr Abbas, hata kama yatapelekwa kwenye mkutano wa Mh Rais na mawaziri wake wa kila wiki. Tension ni kubwa huku mtaani,hofu itatumaliza. Tunaafuatilia social media za majirani zetu,tunasemwa sana.
Usisahau swali langu hapo juu,ni la muhimu sana,na watu sasa wanaogopa kulazwa hospitalIts true maswali hayajajibiwa, muda ni mdogo ila nimeya forward yote.
Kwa vile Dr. Faustine Ndugulile ni member humu, amekubali akipata muda, atatimba jf na kujibu maswali yenu.
P
Hayo maduka ya chakula unakusudia nini hasa?Biashara muhimi tu pekee kama maduka ya madawa na vyakula ndio yanapaswa kubaki wazi. Kuanzia makanisa, misikiti, maduka ya nguo, baa, na mikusanyiko mingine yote isiyo ya lazima ipigwe marufuku.
Corona ipo ila tusisahau na maradhi mengine yanayotusumbu kila siku katika jamii zetu na kusababisha vifo bado maradhi hayo yapo kama kawaida,corona haijaja kusimamisha maradhi mengine maana tunaambiwa marehemu pia alikuwa na maradhi mengine.Hongera Dr.Abas kwa kusema ukweli #kifo Corona TBC, corona ipo si kwa wale tu hata sisi wabongo wa kawaida Mungu baba atunusuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungemuuliza "Atatimba" mwaka gani isije ikawa baada ya uchaguzi akaja na hoja kwamba "mimi si msemaji wa wizara"!!...amekubali akipata muda, atatimba jf na kujibu maswali yenu.
P
Nalo nenoUngemuuliza "Atatimba" mwaka gani isije ikawa baada ya uchaguzi akaja na hoja kwamba "mimi si msemaji wa wizara"!!
Watu lockdown cjui wanafikilia ni nin yaan 😁Au hujui kwamba vyuo na shule kufungwa ni "Lock down"?
Wanadhani ni "Total Lockdown" yaani kila kitu kinasimama. Kumbe hata hapa kwetu tayari tuna "lock down" ila watu wanataka iongezwe makali kidogo, Unamtoa mtoto shule kwa hoja ya CORONA lakini Unamwachia aende Kanisani kwenye mlundikano wa watu kuliko kwenye shule aliyotoka.Inashangaza kidogo.Watu lockdown cjui wanafikilia ni nin yaan 😁
Wanadhani ni "Total Lockdown" yaani kila kitu kinasimama. Kumbe hata hapa kwetu tayari tuna "lock down" ila watu wanataka iongezwe makali kidogo, Una mtoa mtoto shule kwa hoja ya CORONA lakini anamwachia aende Kanisani kwenye mlundikano wa watu kuliko kwenye shule aliyotoka.
Tofauti ya "Closure" na "Lock down" ni nini? Inawezekana kuwa na "Lock down" bila ya kuwa na "Closure"?Hiyo ni "school closure" siyo "lockdown".
Nyumba za ibada ,sehem za sterehe zingekula suspension kwanza watu wasali nyumbani ,walevi walewe nyumbani tukifel kwenye partial lockdown uko mbeleni hata total lockdown itakua ni mtihan mkubwa sanaWanadhani ni "Total Lockdown" yaani kila kitu kinasimama. Kumbe hata hapa kwetu tayari tuna "lock down" ila watu wanataka iongezwe makali kidogo, Una mtoa mtoto shule kwa hoja ya CORONA lakini anamwachia aende Kanisani kwenye mlundikano wa watu kuliko kwenye shule aliyotoka.
Tofauti ya "Closure" na "Lock down" nini? Inawezekana kuwa na "Lock down" bila ya kuwa na "Closure"?
View attachment 1416121
Ili kuwe na "Lock down" ni lazima kuwa na "Closure" kwa kuwa huwezi kuwaambia watu wabaki nyumbani wakati kazi zao bado ziko wazi. Hoja hapa mashule hayakufungwa kwa kuwa muda wa kufungwa ulifika bali kwa kuwa serikali iliyafunga (Lock down) kwa hoja ya ugonjwa wa CORONA.Siyo kila closure ni lockdown. Nchi zinazotajwa hazikufanya lockdown, zilifunga mashule. Pana mtu JF aliandika uzi mzuri sana unaoelezea saikolojia ya wanaolilia lockdown.
😁😁😁😁Na ole wako usiwaulize usirudi humu😏😏😏😏😏😏😎