Sisi hapa mbinu yetu ni ipi?Kila watu wana mbinu zao za kupambana. Msilazimishe Lockdown kwa vile tu nchi jirani zimeweka lockdown.
sio korona ni CORONA?TUAMBIENI UKWELI KUHUSU WATANGAZAJI WA TBC KUFA KWA KORONA. Mfululizo consecutive
Sisi hapa mbinu yetu ni ipi?
Kwahiyo unataka Tanzania twende kwenye lockdown kwasababu ya utajiri wetu?Mlenge unataka kusema nini? Unataka kusema mfumo wa maisha ya Watu wa Korea Kusini na mfumo wao wa Afya unafanana na wetu?
India imeelezwa kinagaubaga ni kwa nini "Lock down" haitasaidia na haitasadia si kwa sababu si mbinu sahihi bali kwa kuwa ya umaskini wa watu wa India.
Tuseme kwamba nakubaliana na wewe kwamba "Lock down" siyo mbinu sahihi. Sisi mbinu zetu sahihi ni zipi ambazo ni bora zaidi kuliko "Lock down"? Na hatujasema "Total Lock down",Kupambana na korona siyo mpaka lockdown.
Au hujui kwamba vyuo na shule kufungwa ni "Lock down"?Kwahiyo unataka Tanzania twende kwenye lockdown kwasababu ya utajiri wetu?
Mkuu hao ni nyumbu. Akili ikielekea upande mmoja HAIWEZI kubadilika tena.See? Kama siyo lockdown, hiyo itakuwa siyo mbinu. Take yourself out of that mindset, na msikilize Waziri wa Afya wakati akitoa takwimu rasmi, huwa pia anazungumzia mbinu zinazotumika kwa wakati huu, na probable measures wakati ujao.
Kupambana na korona siyo mpaka lockdown.
Sio kila homa ni maleria.
Tuseme kwamba nakubaliana na wewe kwamba "Lock down" siyo mbinu sahihi. Sisi mbinu zetu sahihi ni zipi ambazo ni bora zaidi kuliko "Lock down"? Na hatujasema "Total Lock down",
Huko Sweden unakosema tayari lawama zimeshaanza na siyo kwamba watu hawafi, bali wao wanasema kwamba watakaobaki watakuwa na kinga dhidi ya COVID-19 siku zijazo. Hiyo pia ndiyo hoja yako?
Au hujui kwamba vyuo na shule kufungwa ni "Lock down"?
Kuna bandiko langu lolote nimeandika kwamba kila mtu alazimishwe kubakia nyumbani? Hoja ni rahisi sana. Kama umefunga shule, ligi umesimamisha, ni kwa nini mikusanyiko mingine kama Ibada na masoko kama Kariakoo inaendelea. Hoja ya kufunga shule ni nini ambayo si hoja ya huku kwingine?Now you are talking... Sasa kwa nini mnafosi kila mtu alazimishwe kubakia nyumbani...
Alafu ukienda bar unaagiza supu ya Ng'ombe .Serikali tangu ianze kuendeshwa na jamii ya wachunga ng'ombe maamuz yake hata hayaeleweki
Sent using Jamii Forums mobile app
πππMtanyooka tu kenge wewe
Baki wewe nyumbani ,umelazishwa kutoka?Kuna bandiko langu lolote nimeandika kwamba kila mtu alazimishwe kubakia nyumbani? Hoja ni rahisi sana. Kama umefunga shule, ligi umesimamisha, ni kwa nini mikusanyiko mingine kama Ibada na masoko kama Kariakoo inaendelea. Hoja ya kufunga shule ni nini ambayo si hoja ya huku kwingine?