Star tv na Azam king'amuzi leo, je ni hujuma dhidi ya BBC swahili?

Star tv na Azam king'amuzi leo, je ni hujuma dhidi ya BBC swahili?

Nani anaipata bbc swahili muda huu kupitia star tv ?!
 
Wakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?!

Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
Ndio zao, kumbe na wewe umeishawagundua?
 
Back
Top Bottom