Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Kuna channel ya kenya, ipo kwenye king'amuzi cha Azam huwa wanarusha matangazo ya BBC swahili (Dira ya dunia) kuanzia saa nne usiku.
Zipige sindanooWakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?!
Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
K24Kuna channel ya kenya, ipo kwenye king'amuzi cha Azam huwa wanarusha matangazo ya BBC swahili (Dira ya dunia) kuanzia saa nne usiku.
Hao BBC kila siku wanatuhujumu, wacha na wao wahujumiweWakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?!
Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
Chenga Tu bandugu kuna Jambo labdahLeo wameonesha ?!
Kwani na saa 5 wanarushaga kumbeNaisubiria kw aleo ya sa tano usiku naona mazingaombwe yakufunguliwa na nabii malisa
Gusa achia twende kwaoNdio marudiio
Ila hadi muda huu kuna nabii hapa anasema tufunguliwe kama majina yetu yana herufi C 🤣🤣🤣
Kwa hiyo bora tbcBBC ni chombo cha Propaganda cha Waingereza.
Inabidi wafanye hivyo, hii kutumia tv, radio washirika, ni ujinga TUStar tv wamekuwa wakizingua sana hata upande wa redio, kama vipi BBC swahili wasipitie local channel, bora tuwe tunawapata juu kwa juu kwenye masafa yao