Star tv na Azam king'amuzi leo, je ni hujuma dhidi ya BBC swahili?

Kuna channel ya kenya, ipo kwenye king'amuzi cha Azam huwa wanarusha matangazo ya BBC swahili (Dira ya dunia) kuanzia saa nne usiku.
 
Wakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?!

Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
Zipige sindanoo
 

Attachments

  • GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
    11 KB · Views: 17
Wakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?!

Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
Hao BBC kila siku wanatuhujumu, wacha na wao wahujumiwe
 
Star tv wamekuwa wakizingua sana hata upande wa redio, kama vipi BBC swahili wasipitie local channel, bora tuwe tunawapata juu kwa juu kwenye masafa yao
 
Star tv wamekuwa wakizingua sana hata upande wa redio, kama vipi BBC swahili wasipitie local channel, bora tuwe tunawapata juu kwa juu kwenye masafa yao
Inabidi wafanye hivyo, hii kutumia tv, radio washirika, ni ujinga TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…