Star TV na Chief Odemba wanaweza kushtakiwa na Paul Makonda kwa kukashifu, na wakalipa mabilioni ya shilingi

EEEEeeeennnHEEEeeeee!

Nenda kamdanganye Makonda akatafute hayo mabilioni halafu atakumegea fungu kwa ushauri wako mzuri ulioma wewe.

Tatizo ni yeye ndiye itabidi ajibu maswali mahakamani, na siyo wewe..
 
Weka huo Ushahidi wa hizo shutuma kwanza,halafu hivi Daud Albert Bashite ana akili na uwezo wa kupanda Mahakamani kweli?mbona Lissu ameshamsema kwamba anahusika na shambulio lake na hajawahi kwenda Mahakamani kushtaki Defamation!!!
 
Makonda ni MHALIFU dogo, acha uchawa
 
Unayafahamu matusi vizuri @chiemba?
 
Hata wewe unaweza kwenda kumstaki Kwa niaba ya mumeo Makonda.
 
Vipi kuhusu Musiba, mbona hukuwahi kusema lolote?
 
Weka huo Ushahidi wa hizo shutuma kwanza,halafu hivi Daud Albert Bashite ana akili na uwezo wa kupanda Mahakamani kweli?mbona Lissu ameshamsema kwamba anahusika na shambulio lake na hajawahi kwenda Mahakamani kushtaki Defamation!!!
Unampangia apande lini mahakamani?
 
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Watu wana eveindence, ajaribu ajionee watu watakavyoruka nae. Ataomba Baba afufuke!
 
..Star TV na Odemba hawana makosa.

..mwenye makosa ni Tundu Lissu aliyetoa tuhuma nzito dhidi ya Paul Makonda.
StarTv na Odemba ndio wametoa forum ya kutolea kashfa na matusi
 
Watu wana eveindence, ajaribu ajionee watu watakavyoruka nae. Ataomba Baba afufuke!
Lissu hana ushahidi, anaishia kuamini tu kwamba Makonda anahusika. Ushahidi wa mahakamani uko very technical, mambo ya imani peleka kwa Mwamposa huko
 
Nyie UWT hamnaga akili kabisa ni tope, shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…