Star TV na Chief Odemba wanaweza kushtakiwa na Paul Makonda kwa kukashifu, na wakalipa mabilioni ya shilingi

Mbona kwa hili Chief Odemba hajamkashifu po pote Mr Makonda. Alichofanya ni kumuhemesha Tundu Lissu kuwa hana ushahidi wo wote dhidi ya Makonda na kwamba hata hiyo kesi yake huko London haina mashiko. Yaani kamtoa jasho Tundu Lissu ile mbaya. Kaweka
wazi kuwa ikitokea Makonda akamburuza Tundu Lissu mahakamani kwa defamation case atashinda kesi asubuhi na Tundu Lisu kulazimika kumlipa Makonda mabillioni ya pesa.

Hivyo Odemba kwa hapa yuko upande wa Makonda na serikali ya Tanzania. Msikilize hapa alipomuweka kiti moto huyu mbeligiji Tundu Lissu:

View: https://youtu.be/NmCLLvYBXQE?si=sjjsAJKHNBVdKp_4

EEEEeeeennnHEEEeeeee!

Nenda kamdanganye Makonda akatafute hayo mabilioni halafu atakumegea fungu kwa ushauri wako mzuri ulioma wewe.

Tatizo ni yeye ndiye itabidi ajibu maswali mahakamani, na siyo wewe..
 
Naona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.

Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.

Sijui kama Chief Odemba na Star TV wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Weka huo Ushahidi wa hizo shutuma kwanza,halafu hivi Daud Albert Bashite ana akili na uwezo wa kupanda Mahakamani kweli?mbona Lissu ameshamsema kwamba anahusika na shambulio lake na hajawahi kwenda Mahakamani kushtaki Defamation!!!
 
Makonda ni MHALIFU dogo, acha uchawa
 
Unayafahamu matusi vizuri @chiemba?
 
Hata wewe unaweza kwenda kumstaki Kwa niaba ya mumeo Makonda.
 
Naona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.

Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.

Sijui kama Chief Odemba na Star TV wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Vipi kuhusu Musiba, mbona hukuwahi kusema lolote?
 
Weka huo Ushahidi wa hizo shutuma kwanza,halafu hivi Daud Albert Bashite ana akili na uwezo wa kupanda Mahakamani kweli?mbona Lissu ameshamsema kwamba anahusika na shambulio lake na hajawahi kwenda Mahakamani kushtaki Defamation!!!
Unampangia apande lini mahakamani?
 
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Watu wana eveindence, ajaribu ajionee watu watakavyoruka nae. Ataomba Baba afufuke!
 
..Star TV na Odemba hawana makosa.

..mwenye makosa ni Tundu Lissu aliyetoa tuhuma nzito dhidi ya Paul Makonda.
StarTv na Odemba ndio wametoa forum ya kutolea kashfa na matusi
 
Watu wana eveindence, ajaribu ajionee watu watakavyoruka nae. Ataomba Baba afufuke!
Lissu hana ushahidi, anaishia kuamini tu kwamba Makonda anahusika. Ushahidi wa mahakamani uko very technical, mambo ya imani peleka kwa Mwamposa huko
 
Naona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.

Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.

Sijui kama Chief Odemba na Star TV wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Nyie UWT hamnaga akili kabisa ni tope, shame on you
 
Back
Top Bottom