Star TV na Chief Odemba wanaweza kushtakiwa na Paul Makonda kwa kukashifu, na wakalipa mabilioni ya shilingi

Lissu hana ushahidi, anaishia kuamini tu kwamba Makonda anahusika. Ushahidi wa mahakamani uko very technical, mambo ya imani peleka kwa Mwamposa huko
Angalizo;
Jinai haina ukomo..... there is a day!!!
 
Makonda si yupo, na yeye aombe airtime akaweke utetezi sawa kwamba si yeye aliyeongoza lile genge la wahalifu.
 
Hivi kwa mtazamo wako unaona Makonda anaweza kumshtaki mtu na kushinda ilihali yeye mwenyewe ni mshtakiwq katika kila sekta
 
Au yeye mwenyewe anaweza kudili nao kama Clouds🫏

Lissu hana ushahidi, anaishia kuamini tu kwamba Makonda anahusika. Ushahidi wa mahakamani uko very technical, mambo ya imani peleka kwa Mwamposa huko

..kwanini POLISI hawatoi ripoti hata ya awali ya uchunguzi kwamba Makonda hahusiki, na nani wanahisi anahusika?
 
..kwanini POLISI hawatoi ripoti hata ya awali ya uchunguzi kwamba Makonda hahusiki, na nani wanahisi anahusika?
Hicho ndio kibali cha Odemba na genge lake la wahuni kusambaza kashfa?
 
StarTv na Odemba ndio wametoa forum ya kutolea kashfa na matusi

..kweli.

..lakini aliyetoa tuhuma dhidi ya Makonda ni Tundu Lissu.

..Makonda ajitokeze akanushe tuhuma za Lissu.

..pia Makonda aeleze alikuwa wapi siku anayotuhumiwa kuwa alikuwa Dodoma kuongoza shambulizi dhidi ya Lissu.

..Makonda akitoa ushahidi kwamba hakuwepo Dodoma wakati wa shambulizi tuhuma za Lissu zitakosa uzito.
 
Burden of proof lies one the one who alleges as per section 110 of the evidence act (cap 6 R. E. 2019), pale mahakamani, kazi ya makonda ni ku-allege defamation, sasa Lissu, Odemba na StarTv wathibitishe kwamba Makonda alikuwepo
 
Makonda hana huo ubavu kwa vile ni mhusika 100 %. Lissu alishaweka wazi lakini kauchuna utafikiri hasikii ... anajifanya ni CHURA KIZIWI mtoto.
 
Burden of proof lies one the one who alleges as per section 110 of the evidence act (cap 6 R. E. 2019), pale mahakamani, kazi ya makonda ni ku-allege defamation, sasa Lissu, Odemba na StarTv wathibitishe kwamba Makonda alikuwepo

..Makonda pia anadai hakuhusika kumshambulia Lissu hivyo burden of proof ipo kwake pia, aeleze alikuwa wapi, akifanya nini, siku ya tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…