STAR WA BONGO MOVIE SAJUKI ALIHITAJI Sh. 21M tu Kurudi INDIA kwa MATIBABU zaidi...

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801

Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki'

Baada ya kuugua kwa muda mrefu, hatimaye aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini, Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala, Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu.

Sajuki alikuwa akitakiwa kurejea tena nchini India kwaajili ya kuendelea na matibabu ya tatizo lililokuwa likimsumbua ambapo jumla ya shilingi milioni 28 zilikuwa zikihitajika.

Hivi karibuni ilidaiwa kuwa alikuwa ameshakusanya shilingi milioni saba tu zilizotokana na michango ya watu na show alizokuwa akizifanya kukusanya fedha hizo. Show ya mwisho aliifanya jijini Arusha ambako alianguka kwenye stage.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA.
 
Mbona RAIS wetu hakumuona huyu? Na alikuwa anazunguka NCHI nzima kutafuta PESA za MATIBABU?
RAY C; alipata kitita mara dufu ya hizo 21M alizohitaji huyu SAJUKI...

Kwahiyo RAIS anachagua wa KUSAIDIA? Wasanii HIVI KARIBUNI walikwenda IKULU kumshukuru RAIS kwa MISAADA; Hawakugusia ISSUE ya SAJUKI? na ilitangazwa RADIONI na kwenye TV kuwa ameanguka JUKWAANI ARUSHA; akijaribu kufanya MAONYESHO yake ya kumpatia PESA????

DOUBLE STANDARDS!!!!
 
Ray c alitumia madawa ya kulevya sajuki alkuwa anasumbuliwa na tatizo la moyo
 
Yeah... LINGANISHA... MADAWA ya KULEVYA... Ni ULAFI wako wa KUTAKA kuwa HIGH ROLLER; SAJUKi ni UGONJWA ambao hakujitakia kama MADAWA ya KULEVYA lakini hakupata MSAADA

Na RAY C walitumia zaidi ya Sh. 100M na Sajuki ni 21M only!!!
 
kwenye suala la ray haya madawa walitumia wengi hivyo uliingiza kipato kwa sajuki huu ugonjwa wake sio wa kujitakia na mungu amrehemu alitakiwa apate kiasi hicho apate matibabu lakini aliweza kupata milioni saba ,picha tunayoiona hapa ni kuwa wanajamii wanakufa kwa magonjwa mengine ya kutibika lakini hawapati tiba sahihi kutokana na viongozi wetu ktibiwa nje ya nchi .hii inasababisha baadhi ya huduma muhimu kukosekana hapa nchini.
 
Pole sana kwa Bibie Wastara. Binafsi nilijifunza kitu- Kutokana na jinsi alivyojitoa kwa kila hali kumsaidia mume wake, japo hakuwa na uwezo. Alidiriki hadi kunadi pete yake ya ndoa ili apate mchango wa kumuuguza mumewe. Lakini mungu amempenda zaidi. RIP Sajuki.
 
kila mtu ana mwisho wake,rip sajuki,wengi watasema
 
kwenye suala la ray haya madawa walitumia wengi hivyo uliingiza kipato kwa sajuki huu ugonjwa wake sio wa kujitakia na mungu amrehemu alitakiwa apate kiasi hicho apate matibabu lakini aliweza kupata milioni saba ,picha tunayoiona hapa ni kuwa wanajamii wanakufa kwa magonjwa mengine ya kutibika lakini hawapati tiba sahihi kutokana na viongozi wetu ktibiwa nje ya nchi .hii inasababisha baadhi ya huduma muhimu kukosekana hapa nchini.
ki ukweli viongozi wetu kutibiwa nje ya nchi ni moja ya sababu ambazo zinafanya huduma muhimu zikosekane hapa nchini.kama wangekuwa wanatibiwa hapa kwetu wizara ingekuwa tayari imesharejesha huduma hizi kwa haraka. sasa ngoja tutaendelea kupotea tu kila siku namna hii.
 
TUPIGE kelele sasa kuwa inatosha na tuweke mipaka nani anastahili atibiwa nje ya nchi na kwa sababu gani inamlazimu kwenda huko ,madaraja ya walio nacho na wasio nacho yanaongezeka ,.tuseme sasa tosha boresha muhimbili ,kcmc ,buganda zinatosha kutibu viongozi wetu .
 
My God yaani sh. 21m tu zilihitajika? Why having double standards? Au pengine familia ya SAJUKI haikuomba msaada!! But nina hakika Mr. President alikuwa anajua SAJUKI ni mgojwa!! Ila Tz huna hela ukiungua uginjwa mkubwa kupona ni 50% maana unasubiri kudura ya marafiki!! So sad!
 
Mbona RAIS wetu hakumuona huyu? Na alikuwa anazunguka NCHI nzima kutafuta PESA za MATIBABU?
RAY C; alipata kitita mara dufu ya hizo 21M alizohitaji huyu SAJUKI...

Kwahiyo RAIS anachagua wa KUSAIDIA? Wasanii HIVI KARIBUNI walikwenda IKULU kumshukuru RAIS kwa MISAADA; Hawakugusia ISSUE ya SAJUKI? na ilitangazwa RADIONI na kwenye TV kuwa ameanguka JUKWAANI ARUSHA; akijaribu kufanya MAONYESHO yake ya kumpatia PESA????

DOUBLE STANDARDS!!!!

Mkuu si unajua mkulu na kale kaugonjwa kake ka totoz so usishangae...
 
Coz kiongozi na ajenti mkubwa wa hayo madawa ni Miraji na kaka yake...

Yeah... LINGANISHA... MADAWA ya KULEVYA... Ni ULAFI wako wa KUTAKA kuwa HIGH ROLLER; SAJUKi ni UGONJWA ambao hakujitakia kama MADAWA ya KULEVYA lakini hakupata MSAADA

Na RAY C walitumia zaidi ya Sh. 100M na Sajuki ni 21M only!!!
 
Tusirudi nyuma ni vema kumshukuru mungu kwa kila jambo!

Nini? nimesoma vibaya au macho yangu? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo? Nani kasema? Uliambiwa na nani? Ulisoma wapi? Yaani hata makanyaboya kama akina Mwigulu Nchemba au Nape wanapoacha kufanya kazi na kuzunguka kutwa kucha huku wakitumia fedha za walalahoi kufanya porojo za kipumbavu tumshukuru Mungu? Hataaa sio kweli!
 
Mbona RAIS wetu hakumuona huyu? Na alikuwa anazunguka NCHI nzima kutafuta PESA za MATIBABU?
RAY C; alipata kitita mara dufu ya hizo 21M alizohitaji huyu SAJUKI...

Kwahiyo RAIS anachagua wa KUSAIDIA? Wasanii HIVI KARIBUNI walikwenda IKULU kumshukuru RAIS kwa MISAADA; Hawakugusia ISSUE ya SAJUKI? na ilitangazwa RADIONI na kwenye TV kuwa ameanguka JUKWAANI ARUSHA; akijaribu kufanya MAONYESHO yake ya kumpatia PESA????

DOUBLE STANDARDS!!!!
Watanzania tuache tabia ya kilaumu kila kitu, tumefika mahali tunadhani kuwa Rais ni kuchukua nafasi ya MUNGU. Tuwe wa kweli, Sajuki alikuwa na Kansa, wapi mlisikia hata ingekuwa na matrilioni ya fedha unaweza kutibu kansa
 
kwa nini aliambiwa aende india kama walishatambua kwamba ini na pafu haliwezai kufanya kazi. acha mbwembwe na wewe.
 
Back
Top Bottom