Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tuache tabia ya kilaumu kila kitu, tumefika mahali tunadhani kuwa Rais ni kuchukua nafasi ya MUNGU. Tuwe wa kweli, Sajuki alikuwa na Kansa, wapi mlisikia hata ingekuwa na matrilioni ya fedha unaweza kutibu kansa
UKWELI: Kitabibu, ukigundulika una kansa ya ini (kwa Africa hii inamaanisha uko stage za mwisho za ugonjwa), ni nadra sana kuishi kwa zaidi ya miezi sita toka ugundulike. Labda uwe umegundulika katika hatua za awali sana, kitu ambacho ni nadra sana kwetu huku Africa kukifanya, kwa kuwa watu hatuna tabia za kufanya uchunguzi wa afya wa mara kwa mara.
MUHIMU: Ni vyema watu wakachanjwa chanjo ya kuzuia maambukizi dhidi ya kirusi wa Hepatitis B, ambaye husababisha Homa ya Ini. Kirusi huyu ni chanzo kikubwa cha kansa ya ini kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Pia watu wapunguze unywaji wa pombe unaopita kipimo (nayo ni mojawapo ya chanzo cha kansa ya ini [ikisaidiana na kirusi wa Hepatitis C] kwa waafrika wengi). Watu pia wapunguze unene, na pia wenye kisukari; wahakikishe sukari iko controlled vizuri. Tukumbuke kula vyakula vinavyohifadhiwa vizuri (kama una uwezo wa kujua mazingira ya uhifadhi) n.k.
CHANJO: Chanjo za kuzuia maambukizi ya homa ya Ini, zinapatikana baadhi ya hospitali hapa Tanzania, kama vile Aga Khan Dsm, Regency Dsm,Pia kuna Trauma Center Dsm na kliniki nyingine ya wazungu ukiacha Trauma Center iliyopo Masaki/Oysterbay. Kwa Mbeya kuna clinic fulani ya madaktari bingwa ipo maeneo ya Soweto nyuma ya Paradise Inn, Kinga ni Bora kuliko Tiba. Mwanza na Arusha na sehemu nyinginezo sijui.
INDIA: Tatizo kubwa la watu waendao kwa matibabu India hawajui kwamba wahindi hawaachi pesa. Kuna aina ya Kansa ambazo hata kama zimefika advanced stage, wenyewe lazima wapitishe kisu. Kwao tiba ya magonjwa imekuwa Medical tourism. Tumeona wagonjwa wengi wakienda kufanyiwa upasuaji wa matiti, ini n.k. wakati walikuwa na kansa zilizo advanced, ambazo kitabibu haziruhusiwi kufanya resection (upasuaji/ukataji). Bahati mbaya watu hawajui, kama mgonjwa kafia India, wanasema lakini imeshindikana kabisa, maana alifika hadi India; wakidhani India ndio kila kitu, kumbe usanii wa kutupwa pia umejaa huko.
Mkuu vipi tena,mapovu ya nini msibani?hii ni habari ya msiba hakuna haja ya kulaumuniana,kwani mungu ufanya chochote akitakacho hapa duniani!Nini? nimesoma vibaya au macho yangu? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo? Nani kasema? Uliambiwa na nani? Ulisoma wapi? Yaani hata makanyaboya kama akina Mwigulu Nchemba au Nape wanapoacha kufanya kazi na kuzunguka kutwa kucha huku wakitumia fedha za walalahoi kufanya porojo za kipumbavu tumshukuru Mungu? Hataaa sio kweli!
Nakubariana na wewe wajinga ndiyo waliwao. Let our brother R.I.PUKWELI: Kitabibu, ukigundulika una kansa ya ini (kwa Africa hii inamaanisha uko stage za mwisho za ugonjwa), ni nadra sana kuishi kwa zaidi ya miezi sita toka ugundulike. Labda uwe umegundulika katika hatua za awali sana, kitu ambacho ni nadra sana kwetu huku Africa kukifanya, kwa kuwa watu hatuna tabia za kufanya uchunguzi wa afya wa mara kwa mara.
MUHIMU: Ni vyema watu wakachanjwa chanjo ya kuzuia maambukizi dhidi ya kirusi wa Hepatitis B, ambaye husababisha Homa ya Ini. Kirusi huyu ni chanzo kikubwa cha kansa ya ini kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Pia watu wapunguze unywaji wa pombe unaopita kipimo (nayo ni mojawapo ya chanzo cha kansa ya ini [ikisaidiana na kirusi wa Hepatitis C] kwa waafrika wengi). Watu pia wapunguze unene, na pia wenye kisukari; wahakikishe sukari iko controlled vizuri. Tukumbuke kula vyakula vinavyohifadhiwa vizuri (kama una uwezo wa kujua mazingira ya uhifadhi) n.k.
CHANJO: Chanjo za kuzuia maambukizi ya homa ya Ini, zinapatikana baadhi ya hospitali hapa Tanzania, kama vile Aga Khan Dsm, Regency Dsm,Pia kuna Trauma Center Dsm na kliniki nyingine ya wazungu ukiacha Trauma Center iliyopo Masaki/Oysterbay. Kwa Mbeya kuna clinic fulani ya madaktari bingwa ipo maeneo ya Soweto nyuma ya Paradise Inn, Kinga ni Bora kuliko Tiba. Mwanza na Arusha na sehemu nyinginezo sijui.
INDIA: Tatizo kubwa la watu waendao kwa matibabu India hawajui kwamba wahindi hawaachi pesa. Kuna aina ya Kansa ambazo hata kama zimefika advanced stage, wenyewe lazima wapitishe kisu. Kwao tiba ya magonjwa imekuwa Medical tourism. Tumeona wagonjwa wengi wakienda kufanyiwa upasuaji wa matiti, ini n.k. wakati walikuwa na kansa zilizo advanced, ambazo kitabibu haziruhusiwi kufanya resection (upasuaji/ukataji). Bahati mbaya watu hawajui, kama mgonjwa kafia India, wanasema lakini imeshindikana kabisa, maana alifika hadi India; wakidhani India ndio kila kitu, kumbe usanii wa kutupwa pia umejaa huko.
Mbona RAIS wetu hakumuona huyu? Na alikuwa anazunguka NCHI nzima kutafuta PESA za MATIBABU?
RAY C; alipata kitita mara dufu ya hizo 21M alizohitaji huyu SAJUKI...
Kwahiyo RAIS anachagua wa KUSAIDIA? Wasanii HIVI KARIBUNI walikwenda IKULU kumshukuru RAIS kwa MISAADA; Hawakugusia ISSUE ya SAJUKI? na ilitangazwa RADIONI na kwenye TV kuwa ameanguka JUKWAANI ARUSHA; akijaribu kufanya MAONYESHO yake ya kumpatia PESA????
DOUBLE STANDARDS!!!!
UKWELI: Kitabibu, ukigundulika una kansa ya ini (kwa Africa hii inamaanisha uko stage za mwisho za ugonjwa), ni nadra sana kuishi kwa zaidi ya miezi sita toka ugundulike. Labda uwe umegundulika katika hatua za awali sana, kitu ambacho ni nadra sana kwetu huku Africa kukifanya, kwa kuwa watu hatuna tabia za kufanya uchunguzi wa afya wa mara kwa mara.
MUHIMU: Ni vyema watu wakachanjwa chanjo ya kuzuia maambukizi dhidi ya kirusi wa Hepatitis B, ambaye husababisha Homa ya Ini. Kirusi huyu ni chanzo kikubwa cha kansa ya ini kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Pia watu wapunguze unywaji wa pombe unaopita kipimo (nayo ni mojawapo ya chanzo cha kansa ya ini [ikisaidiana na kirusi wa Hepatitis C] kwa waafrika wengi). Watu pia wapunguze unene, na pia wenye kisukari; wahakikishe sukari iko controlled vizuri. Tukumbuke kula vyakula vinavyohifadhiwa vizuri (kama una uwezo wa kujua mazingira ya uhifadhi) n.k.
CHANJO: Chanjo za kuzuia maambukizi ya homa ya Ini, zinapatikana baadhi ya hospitali hapa Tanzania, kama vile Aga Khan Dsm, Regency Dsm,Pia kuna Trauma Center Dsm na kliniki nyingine ya wazungu ukiacha Trauma Center iliyopo Masaki/Oysterbay. Kwa Mbeya kuna clinic fulani ya madaktari bingwa ipo maeneo ya Soweto nyuma ya Paradise Inn, Kinga ni Bora kuliko Tiba. Mwanza na Arusha na sehemu nyinginezo sijui.
INDIA: Tatizo kubwa la watu waendao kwa matibabu India hawajui kwamba wahindi hawaachi pesa. Kuna aina ya Kansa ambazo hata kama zimefika advanced stage, wenyewe lazima wapitishe kisu. Kwao tiba ya magonjwa imekuwa Medical tourism. Tumeona wagonjwa wengi wakienda kufanyiwa upasuaji wa matiti, ini n.k. wakati walikuwa na kansa zilizo advanced, ambazo kitabibu haziruhusiwi kufanya resection (upasuaji/ukataji). Bahati mbaya watu hawajui, kama mgonjwa kafia India, wanasema lakini imeshindikana kabisa, maana alifika hadi India; wakidhani India ndio kila kitu, kumbe usanii wa kutupwa pia umejaa huko.
Yeah... LINGANISHA... MADAWA ya KULEVYA... Ni ULAFI wako wa KUTAKA kuwa HIGH ROLLER; SAJUKi ni UGONJWA ambao hakujitakia kama MADAWA ya KULEVYA lakini hakupata MSAADA
Na RAY C walitumia zaidi ya Sh. 100M na Sajuki ni 21M only!!!
Tusirudi nyuma ni vema kumshukuru mungu kwa kila jambo!
Rais anajitahidi sana,lakini atafanya mangapi?hivi watu wanaochanga mamilioni kwa ajili ya vitu kama m4c kwanini hawakuona umuhimu wa kujaribu kuokoa maisha ya huyu kijana-double standards,na hao wanaochangiwa hayo mamilioni wanayafanyia nini hasa mpaka washindwe kuchota angalau milioni 17 kumuongezea mpiga kura huyu kwenye zile 7 zake alizokusanya?au hawakuona umuhimu wa kura yake?-dunia kweli haiko fair
Mkuu ugonjwa wa Sajuki ni zaidi ya uujuavyo. Hata angekaa India miaka kumi lazima angekufa tu. Si vizuri kumlaumu marehemu ila kifo hiki pamoja na ajali ya mkewe walijitakia wenyewe.
Wanadamu wabayaaaaaaaaaaaaaaaa