STAR WA BONGO MOVIE SAJUKI ALIHITAJI Sh. 21M tu Kurudi INDIA kwa MATIBABU zaidi...

RIP Sajuki...and bravo that strong woman of yours...she never gave up!
 
Watanzania tuache tabia ya kilaumu kila kitu, tumefika mahali tunadhani kuwa Rais ni kuchukua nafasi ya MUNGU. Tuwe wa kweli, Sajuki alikuwa na Kansa, wapi mlisikia hata ingekuwa na matrilioni ya fedha unaweza kutibu kansa

SIO KUCHUKUA nafasi ya MUNGU... AIMAARISHE HOSPITALI ya MUHIMBILI iwe ya KISASA; Wewe ODINGA OGINGA alipokuwa na TUMOR kichwani hakupelekwa INDIA au UINGEREZA

Alitibiwa NAIROBI HOSPITAL... kuna MABINGWA na WANALIPWA VIZURI sana... SIO SIS MUHIMBILI KUSUBIRI MICHANGO JENEZA limalizike kutengenezwa UWEKWE NDANI

Na PIA AACHE HIVYO VITABIA vya KUMLIPIA RAY C SH, MILLIONI 100 na wakati SAJUKI alihitaji only 27M na alikuwa anahangaika KUZIRAISE..
 
UKWELI: Kitabibu, ukigundulika una kansa ya ini (kwa Africa hii inamaanisha uko stage za mwisho za ugonjwa), ni nadra sana kuishi kwa zaidi ya miezi sita toka ugundulike. Labda uwe umegundulika katika hatua za awali sana, kitu ambacho ni nadra sana kwetu huku Africa kukifanya, kwa kuwa watu hatuna tabia za kufanya uchunguzi wa afya wa mara kwa mara.

MUHIMU:
Ni vyema watu wakachanjwa chanjo ya kuzuia maambukizi dhidi ya kirusi wa Hepatitis B, ambaye husababisha Homa ya Ini. Kirusi huyu ni chanzo kikubwa cha kansa ya ini kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Pia watu wapunguze unywaji wa pombe unaopita kipimo (nayo ni mojawapo ya chanzo cha kansa ya ini [ikisaidiana na kirusi wa Hepatitis C] kwa waafrika wengi). Watu pia wapunguze unene, na pia wenye kisukari; wahakikishe sukari iko controlled vizuri. Tukumbuke kula vyakula vinavyohifadhiwa vizuri (kama una uwezo wa kujua mazingira ya uhifadhi) n.k.

CHANJO:
Chanjo za kuzuia maambukizi ya homa ya Ini, zinapatikana baadhi ya hospitali hapa Tanzania, kama vile Aga Khan Dsm, Regency Dsm,Pia kuna Trauma Center Dsm na kliniki nyingine ya wazungu ukiacha Trauma Center iliyopo Masaki/Oysterbay. Kwa Mbeya kuna clinic fulani ya madaktari bingwa ipo maeneo ya Soweto nyuma ya Paradise Inn, Kinga ni Bora kuliko Tiba. Mwanza na Arusha na sehemu nyinginezo sijui.

INDIA:
Tatizo kubwa la watu waendao kwa matibabu India hawajui kwamba wahindi hawaachi pesa. Kuna aina ya Kansa ambazo hata kama zimefika advanced stage, wenyewe lazima wapitishe kisu. Kwao tiba ya magonjwa imekuwa Medical tourism. Tumeona wagonjwa wengi wakienda kufanyiwa upasuaji wa matiti, ini n.k. wakati walikuwa na kansa zilizo advanced, ambazo kitabibu haziruhusiwi kufanya resection (upasuaji/ukataji). Bahati mbaya watu hawajui, kama mgonjwa kafia India, wanasema lakini imeshindikana kabisa, maana alifika hadi India; wakidhani India ndio kila kitu, kumbe usanii wa kutupwa pia umejaa huko.
 
Duuh!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wahindi nao wanapenda hela.kuna stage kabisa mfano cancer ambayo imeshaenea mwilini,sio rahisi kupona.kwa kuwa ni hela inatumika utaambiwa uende tena hospitali.tofauti na nchi nyengine unaambiwa kabisa,una miezi 6 ya kuishi au mwaka,is too late and nothing we can do about it.kikubwa unapewa dawa za kupunguza maumivu tu,ila kutibu inakuwa imeshashindikana
 
Nini? nimesoma vibaya au macho yangu? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo? Nani kasema? Uliambiwa na nani? Ulisoma wapi? Yaani hata makanyaboya kama akina Mwigulu Nchemba au Nape wanapoacha kufanya kazi na kuzunguka kutwa kucha huku wakitumia fedha za walalahoi kufanya porojo za kipumbavu tumshukuru Mungu? Hataaa sio kweli!
Mkuu vipi tena,mapovu ya nini msibani?hii ni habari ya msiba hakuna haja ya kulaumuniana,kwani mungu ufanya chochote akitakacho hapa duniani!
 
UKWELI: Kitabibu, ukigundulika una kansa ya ini (kwa Africa hii inamaanisha uko stage za mwisho za ugonjwa), ni nadra sana kuishi kwa zaidi ya miezi sita toka ugundulike. Labda uwe umegundulika katika hatua za awali sana, kitu ambacho ni nadra sana kwetu huku Africa kukifanya, kwa kuwa watu hatuna tabia za kufanya uchunguzi wa afya wa mara kwa mara.

MUHIMU:
Ni vyema watu wakachanjwa chanjo ya kuzuia maambukizi dhidi ya kirusi wa Hepatitis B, ambaye husababisha Homa ya Ini. Kirusi huyu ni chanzo kikubwa cha kansa ya ini kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Pia watu wapunguze unywaji wa pombe unaopita kipimo (nayo ni mojawapo ya chanzo cha kansa ya ini [ikisaidiana na kirusi wa Hepatitis C] kwa waafrika wengi). Watu pia wapunguze unene, na pia wenye kisukari; wahakikishe sukari iko controlled vizuri. Tukumbuke kula vyakula vinavyohifadhiwa vizuri (kama una uwezo wa kujua mazingira ya uhifadhi) n.k.

CHANJO:
Chanjo za kuzuia maambukizi ya homa ya Ini, zinapatikana baadhi ya hospitali hapa Tanzania, kama vile Aga Khan Dsm, Regency Dsm,Pia kuna Trauma Center Dsm na kliniki nyingine ya wazungu ukiacha Trauma Center iliyopo Masaki/Oysterbay. Kwa Mbeya kuna clinic fulani ya madaktari bingwa ipo maeneo ya Soweto nyuma ya Paradise Inn, Kinga ni Bora kuliko Tiba. Mwanza na Arusha na sehemu nyinginezo sijui.

INDIA:
Tatizo kubwa la watu waendao kwa matibabu India hawajui kwamba wahindi hawaachi pesa. Kuna aina ya Kansa ambazo hata kama zimefika advanced stage, wenyewe lazima wapitishe kisu. Kwao tiba ya magonjwa imekuwa Medical tourism. Tumeona wagonjwa wengi wakienda kufanyiwa upasuaji wa matiti, ini n.k. wakati walikuwa na kansa zilizo advanced, ambazo kitabibu haziruhusiwi kufanya resection (upasuaji/ukataji). Bahati mbaya watu hawajui, kama mgonjwa kafia India, wanasema lakini imeshindikana kabisa, maana alifika hadi India; wakidhani India ndio kila kitu, kumbe usanii wa kutupwa pia umejaa huko.
Nakubariana na wewe wajinga ndiyo waliwao. Let our brother R.I.P
 
Poleni wafiwa na watanzania wote. "Hakika kila nafsi itaonja mauti, na kila mtu atalipwa kwa alio yafanya. Basi atakae epushwa na moto na kuingia peponi, hakika huyo amefuzu". R . I . P . Juma sajuki.
 
jamani ni ahadi imetimia,sote tutarejea kwake.tumuombee alale pema peponi.amin
 
Kulaumu tu kuwa Rais Kikwete hakumsaidia ni kuongea kama vile JK ndio kila kitu...Tatzo kubwa hapa ni kwamba hata hawa WASANII wanaishi maisha sio yao..wanawekeza sana kwenye starehe za maisha kuliko afya zao..mfano wa Rayc na Vengu unatoa taswira. kwa tulipofikia hapa kila mtu awajibike na afya yake kwanza na angalau kujiwekea bima ya afya. Yako matatzo ambayo kuyapatia ufumbuzi itachukuwa muda kama kuboresha kabisa miundo mbinu ya hospitali zetu...lakini wakti huo hatupaswi kuishi kwa kutegemea huruma za Ikulu kwenye afya zetu..Huyu JK atatibu wangapi??
 
Mbona RAIS wetu hakumuona huyu? Na alikuwa anazunguka NCHI nzima kutafuta PESA za MATIBABU?
RAY C; alipata kitita mara dufu ya hizo 21M alizohitaji huyu SAJUKI...

Kwahiyo RAIS anachagua wa KUSAIDIA? Wasanii HIVI KARIBUNI walikwenda IKULU kumshukuru RAIS kwa MISAADA; Hawakugusia ISSUE ya SAJUKI? na ilitangazwa RADIONI na kwenye TV kuwa ameanguka JUKWAANI ARUSHA; akijaribu kufanya MAONYESHO yake ya kumpatia PESA????

DOUBLE STANDARDS!!!!

Rais anajitahidi sana,lakini atafanya mangapi?hivi watu wanaochanga mamilioni kwa ajili ya vitu kama m4c kwanini hawakuona umuhimu wa kujaribu kuokoa maisha ya huyu kijana-double standards,na hao wanaochangiwa hayo mamilioni wanayafanyia nini hasa mpaka washindwe kuchota angalau milioni 17 kumuongezea mpiga kura huyu kwenye zile 7 zake alizokusanya?au hawakuona umuhimu wa kura yake?-dunia kweli haiko fair
 
UKWELI: Kitabibu, ukigundulika una kansa ya ini (kwa Africa hii inamaanisha uko stage za mwisho za ugonjwa), ni nadra sana kuishi kwa zaidi ya miezi sita toka ugundulike. Labda uwe umegundulika katika hatua za awali sana, kitu ambacho ni nadra sana kwetu huku Africa kukifanya, kwa kuwa watu hatuna tabia za kufanya uchunguzi wa afya wa mara kwa mara.

MUHIMU:
Ni vyema watu wakachanjwa chanjo ya kuzuia maambukizi dhidi ya kirusi wa Hepatitis B, ambaye husababisha Homa ya Ini. Kirusi huyu ni chanzo kikubwa cha kansa ya ini kwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Pia watu wapunguze unywaji wa pombe unaopita kipimo (nayo ni mojawapo ya chanzo cha kansa ya ini [ikisaidiana na kirusi wa Hepatitis C] kwa waafrika wengi). Watu pia wapunguze unene, na pia wenye kisukari; wahakikishe sukari iko controlled vizuri. Tukumbuke kula vyakula vinavyohifadhiwa vizuri (kama una uwezo wa kujua mazingira ya uhifadhi) n.k.

CHANJO:
Chanjo za kuzuia maambukizi ya homa ya Ini, zinapatikana baadhi ya hospitali hapa Tanzania, kama vile Aga Khan Dsm, Regency Dsm,Pia kuna Trauma Center Dsm na kliniki nyingine ya wazungu ukiacha Trauma Center iliyopo Masaki/Oysterbay. Kwa Mbeya kuna clinic fulani ya madaktari bingwa ipo maeneo ya Soweto nyuma ya Paradise Inn, Kinga ni Bora kuliko Tiba. Mwanza na Arusha na sehemu nyinginezo sijui.

INDIA:
Tatizo kubwa la watu waendao kwa matibabu India hawajui kwamba wahindi hawaachi pesa. Kuna aina ya Kansa ambazo hata kama zimefika advanced stage, wenyewe lazima wapitishe kisu. Kwao tiba ya magonjwa imekuwa Medical tourism. Tumeona wagonjwa wengi wakienda kufanyiwa upasuaji wa matiti, ini n.k. wakati walikuwa na kansa zilizo advanced, ambazo kitabibu haziruhusiwi kufanya resection (upasuaji/ukataji). Bahati mbaya watu hawajui, kama mgonjwa kafia India, wanasema lakini imeshindikana kabisa, maana alifika hadi India; wakidhani India ndio kila kitu, kumbe usanii wa kutupwa pia umejaa huko.

ulivyoandika ni ukweli mtupu.
Yaani yaani mamamkubwa kafariki hata arobaini bado alikuwa na kansa ya koo.
Alienda india mara 3 mara ya mwisho kabla hajafariki akatuambia''sasa hivi siendi tena niacheni tu''.
Na alikuwa akienda kama familia tulikuwa tunachanga hela nyingi sana.
Mpaka anafariki shingo yote upande mmoja ilikuwa inatoa wadudu.
Na wale madaktari wa muhimbili ndo kwanza wakawa wanasisitiza aende india.wakat ndo hivyo mi naona hata madr wa huku wanachangia huu usanii.
Ile kansa ilikuwa stage ya mwisho aende kufanya nini???kila kiarudi amechokonolewa jicho,mara ngozi ya paja imekatwa ilikuwa heka heka tupu.
Mpaka anafariki tukasema alhamdullilah akapumzike.
We binadamu upo kwa bed siku 5 hata maji hayapiti yakipita tena ukimpa mengi yanatokea puani halafu madr wakasema fanyeni aende india.
Kweli india imekuwa medical tourism
 
Yeah... LINGANISHA... MADAWA ya KULEVYA... Ni ULAFI wako wa KUTAKA kuwa HIGH ROLLER; SAJUKi ni UGONJWA ambao hakujitakia kama MADAWA ya KULEVYA lakini hakupata MSAADA

Na RAY C walitumia zaidi ya Sh. 100M na Sajuki ni 21M only!!!

Mkuu ugonjwa wa Sajuki ni zaidi ya uujuavyo. Hata angekaa India miaka kumi lazima angekufa tu. Si vizuri kumlaumu marehemu ila kifo hiki pamoja na ajali ya mkewe walijitakia wenyewe.
Wanadamu wabayaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Rais anajitahidi sana,lakini atafanya mangapi?hivi watu wanaochanga mamilioni kwa ajili ya vitu kama m4c kwanini hawakuona umuhimu wa kujaribu kuokoa maisha ya huyu kijana-double standards,na hao wanaochangiwa hayo mamilioni wanayafanyia nini hasa mpaka washindwe kuchota angalau milioni 17 kumuongezea mpiga kura huyu kwenye zile 7 zake alizokusanya?au hawakuona umuhimu wa kura yake?-dunia kweli haiko fair

Kweli Unataka VYAMA vya UPINZANI pia VIINGILIE SERIKALI MASUALA yake? Yaani UNGEPENDA pia hiyo M4C iwe na POLISI wao ili kutokomeza UFISADI ndani ya CCM?

CCM pia wanachangiana na kama PESA hazitoshi Wanaingilia SERIKALi na kuwapa PESA; Rais wa NCHI by RULE OF LAW ana UWEZO wa kumsaidia MTU YOYOTE kama RAIS na Wana FUNGU kama HILO... Lakini Wewe Unataka m4c ndio Ingejaribu KUMSAIDIA?

Anajitahidi SANA? Hana MENGI ya KUFANYA MARA nyingi yuko ANGANI akielekea NJE ya NCHI; Hapendi kuishi DAR hata MSOGA... Yeye ni Vasco DA Gama... begi kibindoni ...

Anavyofanya ni BIAS -- Angalia hadi CCM-NEC kajaza familia yake; Kwanini??? Kila kitu anataka kiwe BAGAMOYO hadi Wananchi wa LINDI na MTWARA wanamshtukia,,,

Are U SERIOUS au UNA-JOKE!!!
 
Mkuu ugonjwa wa Sajuki ni zaidi ya uujuavyo. Hata angekaa India miaka kumi lazima angekufa tu. Si vizuri kumlaumu marehemu ila kifo hiki pamoja na ajali ya mkewe walijitakia wenyewe.
Wanadamu wabayaaaaaaaaaaaaaaaa

Ugonjwa wake ni LEUKEMIA... na watu wa UMRI chini ya MIAKA 60 wanaweza kabisa KUPONA LEUKEMIA...
But lazima afuate PROCESS na DOSAGE ya BLOOD THINNING...

Kama Angekuwa anaishi NAIROBI angepona... Wana WATAALAMU BORA na Wana VIFAA vizuri vya kiuchunguzi; Kenya Wanajali MAENDELEO ya NCHI yao; SISI ni MAENDELEO ya MATUMBO yetu na UBINAFSI...
 
Watanzania tuache tabia ya kilaumu kila kitu, tumefika mahali tunadhani kuwa Rais ni kuchukua nafasi ya MUNGU. Tuwe wa kweli, Sajuki alikuwa na Kansa, wapi mlisikia hata ingekuwa na matrilioni ya fedha unaweza kutibu kansa

Kwahiyo alikuwa anatafuta hizo za nini?
R.I.P SAJUKI
 
Back
Top Bottom