The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Mzee baba acha kuzungukazunguka nitajie video yoyote ya hapa bongo ambayo haifanani kimaudhui na video yoyote duniani.
Anatakiwa kabla ya kuitoa aiweke hiyo video yake kwenye plagiarism checkerDiamond anawezaje kuangalia video zote za duniani?Kama ndio njia unayotumia kumchafua diamond basi unakosea badala yake unafanya ngoma hii ya diamond iwe maarufu zaidi
Sawa ila tunacho shukuru umetizama video.
Hamna jipya chini ya jua,Drake kuna video yake moja kafanya akiwa kama kwenye chumba cha box,Rihanna naye akaja akafanya hivyo hivyo.
Avant ft Nicole kafanya video yy na Nicole wamelalia ukuta huku wakiimba,TI ft Keri hilson naye kafanya hivyo,Lulu Diva ft Mr blue nao wakafanya hivyo hivyo.
Bila kusahau kuna video kibao zinafanywa kwenye magari yale marefu huku uswahilini tunayaita magari ya milango sita.
So hamna jipya chini ya jua.Ila endelea kuongeza views,usisahau kusubscribe youtube na kuangalia matangazo.
Naona umeacha kuifanyia PROMO ngoma ya K2ga.😀😀
Video ina View 80m ndani ya miezi 10 unasema hafahamiki, eti imkopiwaje mnakosaga cha kutetea inafikia hatua unaongea pumba
Huyu msanii uwezo binafsi ndio umeishia hapo.. Kabakiza kukopy na kuimba matusi.. nawashauri wamfungulie mashtaka ya hati miliki ili alipe fine iwe funzo kwa wasanii makanjanja kama yeye..
Inaonekana video zote mbili ujaziona hiyo ya Iza pamoja na mondi au umeiona ya mondi pekee ya Iza ujaiona so kaziangalie alafu unipe mrejeshoPlagiarism inaruhusiwa kwa asilimia Fulani , mara nyingi 30% na kushuka chini, lakini haitakiwi kuvuka hapo , Kama mondi amevuka iko kiwango Basi itakuwa amefanya makosa na icho sio kitu sahihi Cha kukitetea,
Davido na label yake DMW ina maana nao watakuwa wameishiwa idea? Kwenye mziki vitu vinavyolindwa kisheria melody,mashairi na biti.
Diamond Kaishiwa idea na Kik Zimemkataa kwa sasa anachofanya ni kucopy ili aibue mijadara, Jamaa uwezo wake unaporomoka kwa kasi sana
Atapia huyo Iza kwenye Huo HuoDavido na label yake DMW ina maana nao watakuwa wameishiwa idea? Kwenye mziki vitu vinavyolindwa kisheria melody,mashairi na biti.
Video watu kibao wanarudia.Hiyo video ni ya msanii ambaye yupo chini ya label ya Davido DMV B-Red ,nyimbo dollar-B-Red ft Davido and Perruzi,kuna sehemu wamerudia kipande cha video ya African beauty ya Diamond platnumz.View attachment 1366017
Basi tutajie wimbo wowote wa hapa bongo zenye scenes ambazo hazilingani na video yoyote duniani
Huyo msanii hata hafaamiki yupo uko Brazil hiyo video yake imekopiwaje?
Anafahamika Brazil ila sio duniani Kama mwana fa anafahamika huku bongo uko kwengine hafahamiki.Ana nyimbo zina views 279M+ unasema hafaamiki? Msanii gani hapa Bongo kasha fikisha hata nusu ya hao views?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafahamika Brazil ila sio duniani Kama mwana fa anafahamika huku bongo uko kwengine hafahamiki.
Brazil ni moja ya nchi yenye watu wengi Sana usione ajabu yeye kuwa na viewers hao.Sio kweli views 279M unasema hajulikani? angalia kina Alicia keys , R Kelly, Usher Raymond hawafikii hata hizo number maybe sema hafaamiki bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Brazil ina population ya watu 210M , USA ina watu 330M unasemaje hapo?Brazil ni moja ya nchi yenye watu wengi Sana usione ajabu yeye kuwa na viewers hao.