Star wa Brasil (IZA) Amchana Diamond kwa Kucopy Idea ya Video ya Wimbo wake na kuitumia kwenye GERE

Star wa Brasil (IZA) Amchana Diamond kwa Kucopy Idea ya Video ya Wimbo wake na kuitumia kwenye GERE

Plagiarism inaruhusiwa kwa asilimia Fulani , mara nyingi 30% na kushuka chini, lakini haitakiwi kuvuka hapo , Kama mondi amevuka iko kiwango Basi itakuwa amefanya makosa na icho sio kitu sahihi Cha kukitetea,
Mzee baba acha kuzungukazunguka nitajie video yoyote ya hapa bongo ambayo haifanani kimaudhui na video yoyote duniani.
 
Mondi ni mwanamuziki mkubwa sasahivi inabidi awe makini kwenye kazi zake ,kuliko kuanza kujiringanisha na wanabongo fleva wenzake kwenye kufanya muziki , hiyo benchmark yy alishaivuka
 
Diamond anawezaje kuangalia video zote za duniani?Kama ndio njia unayotumia kumchafua diamond basi unakosea badala yake unafanya ngoma hii ya diamond iwe maarufu zaidi
Anatakiwa kabla ya kuitoa aiweke hiyo video yake kwenye plagiarism checker
 
IZA - BRISA vs TANASHA X DIAMOND PLATNUMZ - Gere

Tofauti zipo ktk Beats, saxaphone, playa / beach, boat scene / buque barco, Dance / Bailamos.

Hitimisho : Hazifanani
 
Sawa ila tunacho shukuru umetizama video.

Hamna jipya chini ya jua,Drake kuna video yake moja kafanya akiwa kama kwenye chumba cha box,Rihanna naye akaja akafanya hivyo hivyo.

Avant ft Nicole kafanya video yy na Nicole wamelalia ukuta huku wakiimba,TI ft Keri hilson naye kafanya hivyo,Lulu Diva ft Mr blue nao wakafanya hivyo hivyo.

Bila kusahau kuna video kibao zinafanywa kwenye magari yale marefu huku uswahilini tunayaita magari ya milango sita.

So hamna jipya chini ya jua.Ila endelea kuongeza views,usisahau kusubscribe youtube na kuangalia matangazo.

Naona umeacha kuifanyia PROMO ngoma ya K2ga.😀😀

😂😂😂😂😂😂😂😂😂......HATAR SANA..MASHABIK KINDAKI NDAKI HAO
 
Video ina View 80m ndani ya miezi 10 unasema hafahamiki, eti imkopiwaje mnakosaga cha kutetea inafikia hatua unaongea pumba

Mwaga povu...usikubali akuchukulie poa..kimaandaz andazi
 
Huyu msanii uwezo binafsi ndio umeishia hapo.. Kabakiza kukopy na kuimba matusi.. nawashauri wamfungulie mashtaka ya hati miliki ili alipe fine iwe funzo kwa wasanii makanjanja kama yeye..

Vangosha....
 
Plagiarism inaruhusiwa kwa asilimia Fulani , mara nyingi 30% na kushuka chini, lakini haitakiwi kuvuka hapo , Kama mondi amevuka iko kiwango Basi itakuwa amefanya makosa na icho sio kitu sahihi Cha kukitetea,
Inaonekana video zote mbili ujaziona hiyo ya Iza pamoja na mondi au umeiona ya mondi pekee ya Iza ujaiona so kaziangalie alafu unipe mrejesho
 


Diamond Kaishiwa idea na Kik Zimemkataa kwa sasa anachofanya ni kucopy ili aibue mijadara, Jamaa uwezo wake unaporomoka kwa kasi sana

Davido na label yake DMW ina maana nao watakuwa wameishiwa idea? Kwenye mziki vitu vinavyolindwa kisheria melody,mashairi na biti.

Video watu kibao wanarudia.Hiyo video ni ya msanii ambaye yupo chini ya label ya Davido DMV B-Red imetoka mwaka huu ,nyimbo dollar-B-Red ft Davido and Perruzi,kuna sehemu wamerudia kipande cha video ya African beauty ya Diamond platnumz.
Screenshot_20200222-123939.png


85157122_1004684716582546_1866253876499931642_n.jpg
 
Davido na label yake DMW ina maana nao watakuwa wameishiwa idea? Kwenye mziki vitu vinavyolindwa kisheria melody,mashairi na biti.

Video watu kibao wanarudia.Hiyo video ni ya msanii ambaye yupo chini ya label ya Davido DMV B-Red ,nyimbo dollar-B-Red ft Davido and Perruzi,kuna sehemu wamerudia kipande cha video ya African beauty ya Diamond platnumz.View attachment 1366017
Atapia huyo Iza kwenye Huo Huo
wimbo anayosema kaibiwa na mondi Kuna scenes 3 kakopy kwenye wimbo wa baby boy ya Beyonce Tena kakopy vile vile kama vilivyo bila atakubadilisha kitu tofauti na mondi.
 
Back
Top Bottom