Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la kifahari

Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la kifahari

Habari ndugu zangu

Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la ndoto zake aina ya lamborghini na kuwa miongoni mwa mastaa wachache kutoka Afrika wanaomiliki magari ya kifahari.

Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost video fupi ikionesha mapokezi ya gari hilo na kupitia video hiyo amesikika akisema I waited for so long. Kweli mziki unalipa asee
huo mjengo anaolala duuh
mziki unalipa kwa wenzetu sio bongo
 
Ufipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu

Ngoja tusubiri barua ya vitisho
Wewe inaonekana umevurugwa sana unawaza ujinga any time
 
Back
Top Bottom