Stara Thomas afunguka kuhusu mahusiano yake na the late Adam Kuambiana

kuna mambo nadhani yanatokea Tanzania tu, sisi hizi hadithi zake stara zinatuhusu nini? nilikuwa namuheshimu kumbe bure kabisa.

imagine wewe ndio umemuoa na unaishi naye halafu mtu anamshobokea marehemu kiasi hiki? gime a break.

Na mimi nilikuwa najiuliza hilo swali mume wake hajasikia?na kama amesikia anajisikiaje?hana adabu hata kidogo huyo kicheche nimemdharau jumla.
 
Na mimi nilikuwa najiuliza hilo swali mume wake hajasikia?na kama amesikia anajisikiaje?hana adabu hata kidogo huyo kicheche nimemdharau jumla.

Aliachika, ila hata kama, unajua yule umri umeenda, hayo mambo ya kutangazana na mambo ya mahawara angewaachia akina lulu, yani hili limama halijielewi, ndo maana lilianza kuimba gospel ilamshinda akarud bongo fleva
 
Jamani, kwa ukweli nilikua mamuheshimu sana Stara Thomas, kumbe naye ni walewale tu. Kujiheshimu ni pamoja na kuficha mambo yako ya faragha watu wasiyajue au wayajue lakini wasiamini. Ila sipati picha lile titi akiwa naked huwa anatokelezeaje!

Halafu nasikia ameokoka tena ni mwimbaji kwaya........!!!!!
 
Marehemu alikuwa ana haki ya kuishi vile alivyopenda. Hivi kuna mtu kati yenu aliyewahi kuombwa pesa ya kodi ya nyumba na matumizi mengine na marehemu!? mbona mnakuwa wanafiki na maisha ya watu au mtu kutumia pesa yake vile apendavyo bila kuvunja sheria ni makosa nchi hii!? siwaelewi eti yahaya!? kuna ambaye alitapeliwa na marehemu kati yenu!?
 
Mi nilidhan kasema hivyo hana mme kumbe ana mme hata kama ana mpenzi unatakiwa kupiga kimyaaa tu

Nakumbuka kuna wakati haya magazeti pendwa yalitoa story yao wakati penzi likiwa moto. Sasa walimpigia simu Stara kutaka kuhakikisha hiyo minong'ono kama ni kweli au la. Hakutoa ushirikiano zaidi ya mwandishi kuambulia mvua ya matusi.
 
ufanyike kwake kwani alikuwa hana ndugu?stara kajishusha sana.

Si alijiozesha tena, alitaka kujifanya mke wa marehemu kumbe hawara, kama marehem alimdanganya ye ndo mke wake imekula kwake
 
Stara huwezi kuzuia Binadamu wasiongee , Unajieleza eleza nini badala ya kupiga kimyaa tu ! ahaaaa Inahu??
 
Si alijiozesha tena, alitaka kujifanya mke wa marehemu kumbe hawara, kama marehem alimdanganya ye ndo mke wake imekula kwake
mkuu leo kuna umbea first class hata vocha nitakuchangi hebu pekenyua huko kwa shigongo sababu za vick kamata kuwekewa pingamizi la ndoa kanisani.

inabidi upae sasa level ya umbea kama wa the sun la uk.
 
Haya mambo mengine ni kujidhalilisha tu, kwa nini asingepiga kimya tu?
 
mkuu leo kuna umbea first class hata vocha nitakuchangi hebu pekenyua huko kwa shigongo sababu za vick kamata kuwekewa pingamizi la ndoa kanisani.

inabidi upae sasa level ya umbea kama wa the sun la uk.

Niliona sehem hii, ngoja nichek
 
mkuu leo kuna umbea first class hata vocha nitakuchangi hebu pekenyua huko kwa shigongo sababu za vick kamata kuwekewa pingamizi la ndoa kanisani.

inabidi upae sasa level ya umbea kama wa the sun la uk.

Hahahahaaaaaaaa!siwawezi.
 
mkuu leo kuna umbea first class hata vocha nitakuchangi hebu pekenyua huko kwa shigongo sababu za vick kamata kuwekewa pingamizi la ndoa kanisani.

inabidi upae sasa level ya umbea kama wa the sun la uk.
Hahahaaaaaaaaaaa!siwawezi...!
 
hebu fuatilia hiyo ndio exclusive first class tabloid, hata e-bay inauza hiyo.

hilo sanamu la Michelin achana nalo ni kichefuchefu tu.

Huu mchezo wanaofanya akina nanii ni balaa, nimeipata story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…