sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni starehe binafsi kwajili ya kuvuta, kifaa hiki kinaitwa bong, waweza vutia kilevi kama tumbaku, naweza kukipata wapi hapa bongo ? nahofia kuagiza maana kimekaririwa kutumika kwenye kuvutia Marry Jane, nisije pigwa maswali nikienda kukichukua.
Sababu yangu ya kuhitaji bong ni kwamba hii ndio njia ya kisasa ya kuvuta.
Sababu yangu ya kuhitaji bong ni kwamba hii ndio njia ya kisasa ya kuvuta.
- maji yanapooza na kuuchuja moshi
- Hakuna haja ya kuandaa msokoto, unaweka moja kwa moja
- Inaokoa matumizi, kilevi kinazimika ukiacha kuvuta
- Inalinda rangi ya mdomo
- Moshi mwepesi usio na harufu kali kama msokoto,