sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
za Maabara sijaziona zenye sehemu ya kuwekea kilevi, labda ucheki hio video uione vizuriNenda maabara za Chemistry utazikuta hizo conical flask
ni kifaa mbadala cha kuvutia kama ilivyo msokoto, kiko, shisha, n.k. ila hiki ni cha kisasa zaidi unaweza maji yanayopooza na kuuchuja moshi.Ni nini hiyo?
Unawaza mbali, mimi navutia tumbaku iliyo halaliMkuu uko wapi?Kama dar nenda pale kituo Cha osta bei polisi,wanajua zinapopatikana,waambie Kuna Big mmoja Jf Kakutonya.
Shisha haina sehemu ya kuweka majiHicho kifaa ni cha kuvutia shisha ila kimeboreshwa tuu