Starehe gani inayokupotezea Muda na Fedha lakini unashindwa kuiacha?

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Starehe ya kula gambe nimeshindwa kuiacha kabisaa japo inamaliza hela ila kuna muda najisemea natafuta hela kwa sababu gani?
  • 5f752389564f8.image.jpg
 
Mimi napenda sana shughuli za uwindaji haram! Na hasa wanyama aina ya swala. Yaani nikipita karibu tu na mbuga ya wanyama, halafu nikwaona swala wadogo na walionona! Basi lazima nivamie.

Hii tabia sijui nitakuja kuiacha lini! Ukichukulia umri nao unazidi kwenda. Maana mara nyingi nalazimika kutumia fedha ili kupata hicho kitoweo.
 
Hii tabia sijui nitakuja kuiacha lini! Maana umri nao unazidi kwenda. Maana mara nyingi nalazimika kutumia fedha ili kupata hicho kitoweo.
Nishakusoma mkuu unapenda swala walionona au wa size ya kati?
 
Mimi napenda sana shughuli za uwindaji haram! Na hasa wanyama aina ya swala. Yaani nikipita karibu tu na mbuga ya wanyama, halafu nikwaona swala wadogo na walionona! Basi lazima nivamie.

Hii tabia sijui nitakuja kuiacha lini! Ukichukulia umri nao unazidi kwenda. Maana mara nyingi nalazimika kutumia fedha ili kupata hicho kitoweo.
Utakuwa na meno makali sana kama waziri wa hela na ukwapuaji.
 
Kuna lishangazi nimeliona hapo lina mtindi wa dunia...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu kale ka kimbaombao kanafurahia "slap" wakati hakana hata kalio...😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
Hizi ndio comments za maana sasa mkuu....😊
 
Back
Top Bottom