Starehe gani inayokupotezea Muda na Fedha lakini unashindwa kuiacha?

Mimi napenda sana shughuli za uwindaji haram! Na hasa wanyama aina ya swala. Yaani nikipita karibu tu na mbuga ya wanyama, halafu nikwaona swala wadogo na walionona! Basi lazima nivamie.

Hii tabia sijui nitakuja kuiacha lini! Ukichukulia umri nao unazidi kwenda. Maana mara nyingi nalazimika kutumia fedha ili kupata hicho kitoweo.
 
Nishakusoma mkuu unapenda swala walionona au wa size ya kati?
 
Utakuwa na meno makali sana kama waziri wa hela na ukwapuaji.
 
Kuna lishangazi nimeliona hapo lina mtindi wa dunia...🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Alafu kale ka kimbaombao kanafurahia "slap" wakati hakana hata kalio...😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
Hizi ndio comments za maana sasa mkuu....😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…