Starehe gani inayokupotezea Muda na Fedha lakini unashindwa kuiacha?

Nasikia hujaoa shusha wasifu wako
 
Porn aisee. Huwa nikiingia katika zile websites naweza poteza hata GB20 naperuzi video mbali mbali bila kuchoka.

Aisee sijui naachaje hii tabia maana sitaki hata mwandani wangu ajue.
 
surfing on internet 🙌
Siwezi kaa hata dk 10 bila MB.
 
Diko
Nile kuku choma biriani mishkaki juis sharubatii..
Kiukweli mimi ela yangu inaishia kula vizuri tu
 
Porn aisee. Huwa nikiingia katika zile websites naweza poteza hata GB20 naperuzi video mbali mbali bila kuchoka.

Aisee sijui naachaje hii tabia maana sitaki hata mwandani wangu ajue.
Endelea tu kuitemea mate dyudyu yako....
 
Haya mapombe niachane nayo tu ikifika 2030 kama ntakua hai.Yananipuna sana.
 
Porn aisee. Huwa nikiingia katika zile websites naweza poteza hata GB20 naperuzi video mbali mbali bila kuchoka.

Aisee sijui naachaje hii tabia maana sitaki hata mwandani wangu ajue.
Hivi porn naona wanao badilika ni watu.. Ila style ni zile zile.. Idea ni ilele.. Huwa mna angalia nini cha ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…