We acha tu yani ni raha sana make watu wanahangaika kutwa kuchwa weweee aaaaaaaaa kila ukitaka tu unapewa vitu vya hajaaaNi ukweli aisee... Utakuwa ukitoka nje wewe tabasamu limejaa usoni kabisa.. Majirani wanashangaa jamani mama Fulani hazeeki kumbe Furaha ya moyo inatoka nje na kuonekana usoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]We acha tu yani ni raha sana make watu wanahangaika kutwa kuchwa weweee aaaaaaaaa kila ukitaka tu unapewa vitu vya hajaaa
Ndoivo bestii kuna Wanaume wamebarikiwa acha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Nibkweli mkuu.. Sema uaminifu nao ni changamoto sana wa siku hizi akisifiwa mara 2 anaenda kujaribisha na pengine..Ndoivo bestii kuna Wanaume wamebarikiwa acha kabisa
kunya/kukata gogo ndio starehe kubwa kuliko zote duniani
aisee naipenda sana hiyo starehe