Starehe tamu kuliko zote

Starehe tamu kuliko zote

Ni ukweli aisee... Utakuwa ukitoka nje wewe tabasamu limejaa usoni kabisa.. Majirani wanashangaa jamani mama Fulani hazeeki kumbe Furaha ya moyo inatoka nje na kuonekana usoni.
We acha tu yani ni raha sana make watu wanahangaika kutwa kuchwa weweee aaaaaaaaa kila ukitaka tu unapewa vitu vya hajaaa
 
Ndoivo bestii kuna Wanaume wamebarikiwa acha kabisa
Nibkweli mkuu.. Sema uaminifu nao ni changamoto sana wa siku hizi akisifiwa mara 2 anaenda kujaribisha na pengine..
Ukugundua mara ya kwanza unasamehe ya pili unahoji kwa ukali huku ukilia ya tatu hamu zooote zinaisha
 
kunya/kukata gogo ndio starehe kubwa kuliko zote duniani
aisee naipenda sana hiyo starehe

hasa Kama ulikuwa unebanwa na tumbo la kuhara kwa muda mrefu bila kupata mliwato mfano uko kwenye basi unasafiri. Unaweza kujikuta baada ya shughuri unadondosha bonge la pambio la kusifu ukiwa chooni.
 
Back
Top Bottom