Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
We acha tu yani ni raha sana make watu wanahangaika kutwa kuchwa weweee aaaaaaaaa kila ukitaka tu unapewa vitu vya hajaaaNi ukweli aisee... Utakuwa ukitoka nje wewe tabasamu limejaa usoni kabisa.. Majirani wanashangaa jamani mama Fulani hazeeki kumbe Furaha ya moyo inatoka nje na kuonekana usoni.