Starehe yako kubwa ni ipi?

Starehe yako kubwa ni ipi?

Kusikiliza music,kufanya shughuli za nyumbani(sababu mimi ni beki3)😂and of course lile tendo🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Hata sijui nini haswa nakipenda kuliko vingine, kula imo, kusafiri imo, napenda kulala Ila sipati usingizi lately...kidude sikipendi tena siku hizi[emoji39][emoji39]
 
Salam Wakuu,

Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi.
and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade

Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
Starehe yangu bado sijaifikia ambayo ni kununua pikipiki kubwa kati ya Yamaha Super Tenere 1250cc Honda Africa Twin 1250cc Kisha niwe natembea popote ninapojisikia kama wale watu wa adventure wanaotoka Asia huko wanakuja mpaka Africa

Nina ndoto hiyo na hiyo ndiyo starehe yangu
 
Starehe yangu bado sijaifikia ambayo ni kununua pikipiki kubwa kati ya Yamaha Super Tenere 1250cc Honda Africa Twin 1250cc Kisha niwe natembea popote ninapojisikia kama wale watu wa adventure wanaotoka Asia huko wanakukua mpaka Africa

Nina ndoto hiyo na hiyo ndiyo starehe yangu

Nice all the best champ
 
Salam Wakuu,

Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi.
and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade

Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
Mademu wenye vyura wanashawishi sana akivua lazima kitu kiinuke hata kama umechoka hafu ukute anayajua mapenzi utakoma
 
Starehe yangu Ni kufanya tafiti za Nguvu ya Mungu ambapo nina weka Madhabu yangu ndani na kufanya Sadaka ya kutezwa kama akina Abraham na huwa naonyeshwa kila ninachotaka kukiona kwenye macho kama vidoe vile.. hivyo hujisikia raha sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Baaada ya sadaka ya Yesu hakuna sadaka ya kuchinjwa wala kuteketezwa inayofanya kazi mbele za Mungu.

Labda uwe unonyeshwa na miungu sio Jehovah
 
IMG_20210826_104843~2.jpg
IMG_20210904_085750~2.jpg
IMG_20210910_220853~2.jpg
IMG_20211124_135901~2.jpg
IMG_20211116_162333~2.jpg
 
Back
Top Bottom