Starehe yako ni ipi?

Same to me mkuu ana flow kali speed 360, anajua na anaweza sana zaid ya sana. Respet.
Sark
Ace le me take yoh to afrikaa
My people they love you....

ACe
The beast of the south in my worst behaviour
Don't make me angry
Unazijua hizi lines! !!
 
Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Ulishawahi kucheza muziki wa Africando??
 
Sark
Ace le me take yoh to afrikaa
My people they love you....

ACe
The beast of the south in my worst behaviour
Don't make me angry
Unazijua hizi lines! !!
Ace hood & Sarkodie nazipandika fresh hizo mkuu
 
Ace hood & Sarkodie nazipandika fresh hizo mkuu
Hiyo track na remix ya shots on shots ndiyo zilinifanya niwe shabiki wa Sark. Sijui kwanini mziki kama ule hauna soko kubwa na wakati nikiusikia huwa roho inatulia aseeh
 
Hiyo track na remix ya shots on shots ndiyo zilinifanya niwe shabiki wa Sark. Sijui kwanini mziki kama ule hauna soko kubwa na wakati nikiusikia huwa roho inatulia aseeh
Nimeanza kumfahamu 2013 kwa wimbo wa Illuminati, nadhan ndio ulio mpa tuzo ya rapa bora Afrika Chanel O 2014 kama sijasahau. Unaufahamu huo na ule yupo na Banky W unaitwa Pon di tin
 
List ya tatu tuko pamoja.. Kwesta, khuli chana, K. O, kid X, Ricky Rick, vector, phyno, olamide, Uzi, zoro, Etc nazipenda nyimbo ngumu hasa zile wanazo chana ki zulu, Yoruba na Igbo
Umenikosha sana mkuu...

SA hip-hop za wagumu ni tamu sana... K.O nampenda zaidi akifatiwa na Khuli Chana na wengine kama Kid X,Nasty C,Cassper Nyovest,Ricky Rick,Emtee na AKA kwa mbali.

Naija hip-hop siikubali kivilee lakini Vector,Phyno,M. I Abaga na Ice Prince wananikosha mno.
 
Nimeanza kumfahamu 2013 kwa wimbo wa Illuminati, nadhan ndio ulio mpa tuzo ya rapa bora Afrika Chanel O 2014 kama sijasahau. Unaufahamu huo na ule yupo na Banky W unaitwa Pon di tin

Sarkodie kwa kumbukumbu zangu hana channel o award labda alishawahi nominated tu 2012 na 2014 kuchukua hajawahi LABDA BET mkuu
 
Whaaaaaat mkuu K. O namkubali zaid SA napenda sana nyimbo zake eg. Caracara, Ding dong, shkanda love akiwa na nandi mngoma, One time, son of Gun, mission statement
 
AKA... namfananisha na g nako. Akimba track mwenyewe haiendi mahali
 
Sarkodie kwa kumbukumbu zangu hana channel o award labda alishawahi nominated tu 2012 na 2014 kuchukua hajawahi LABDA BET mkuu
Basi nimechanganya madawa hapo, itakua alichukua tuzo ya The Headies. Unampata yule dogo aliyeimba na Khuli chana kwenye Hape la Hape, akashilikishwa na AKA kwenye All eyes on you
 
AKA... namfananisha na g nako. Akimba track mwenyewe haiendi mahali
Mm mwanzo nilikua namfana nisha na French Montana ndio nikagundua AKA ana meno ya rangi not sure if it is a gold
 
Basi nimechanganya madawa hapo, itakua alichukua tuzo ya The Headies. Unampata yule dogo aliyeimba na Khuli chana kwenye Hape la Hape, akashilikishwa na AKA kwenye All eyes on you

Kuna
Da les au JR track inaitwa all eyes on me not you.
 
Mm mwanzo nilikua namfana nisha na French Montana ndio nikagundua AKA ana meno ya rangi not sure if it is a gold
Tafuta word yupo na ice prince usikilize.

AKA yupo tofauti na montana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…