Starehe yako ni ipi?

Binafsi aseeh napenda kusikiliza mziki mzito wenye ugumu fulani..

Kwa bongo. Watu kama mbwa, JCB late nelly, salu ti, mbishi, one, fid.

Africa sarkodie, ice, eno, Ricky,emtee,MI, mecasa, cassiper, nk

Juu, brother ali, rogue, wu, nas, nk.
Mkuu...

Mimi hapa hip-hop ngumu ndio nyumbani.

Kwa mbele(Old Skools)... Napenda hip-hop duos kama Geto Boyz,Gang Starr,Lost Boyz,Pete Rock N CL Smooth,NWA,Naughty By Nature,The Fresh Prince(Will Smith) N DJ Jazzy,Tribe Called quest,Leaders of the new school,Outcast,Run DMC,Sugar Hill Gang na mengine mengi.

Ila Solo MCs ni 2pac,Krs one,Nas,B.I.G,Dj Quick,Eazy E,Ice Cube na wengine kibao.

Upande wa new skools ni Kendrick Lamar,J Cole,Chance the rapper,Childish Gambino na wengine.
 
Hip hop ni mziki mzuri.

Umenikumbusha hawa tribe called quest na track yao I lost my wallet in El segundo hahaha kitambo hicho.
 
Tafuta word yupo na ice prince usikilize.

AKA yupo tofauti na montana
Nimesha isikia hiyo mkuu, yaani mm nilikua nashindwa kutofautisha sura. In short nyimbo za kibongo nimeanza kushabikia mwaka jana yaan hua hazipand kabisa, ila nigeria, ghana, na SA nawaelewa sana sidhan kuna msanii mkubwa ambae simfaham
 
AKA
Look how I put map of my city in the world.....

sema nimesahau lyrics coz sijui majukumu ndiyo yameongezeka siku hizi nimekuwa mzembe kufuatilia hiphop mkuu.

Bongo miaka ya 2008 9 10 11 12 13 walikuwa wanafanya vizur (maoni yangu) ila now wanazingua.

Chukulia mtu kama Bonta ujue huyu jamaa alikuwa na trend nzuri ya hiphop ila sijui alikuja kubugi wapi
 
Whaaaaaat mkuu K. O namkubali zaid SA napenda sana nyimbo zake eg. Caracara, Ding dong, shkanda love akiwa na nandi mngoma, One time, son of Gun, mission statement
Hahahaha....

Utaniambia nyimbo gani ya K.O nisiijue... Ila hiyo na Nandi Mngoma a.k.a Gangster Love ni kiboko.

Nimeona hii nyimbo ya G Nako na Jux wameiga video ya K.O ft Kid X Caracara.

AKA anaujua mziki wa huyu kijana... Kafunikwa kwenye Run Jozi mpaka God`s will.
 
Kwenye Run jozi AKA alifichwa. Ila AKA anaswagga zake.

Kama aliyoimba na diamond aka kamficha jamaa saana. Pia ile remix ya re'up kawaficha emtee na mwenzake.
 
Nakuunga mkono mkuu, mziki wa bongo hasa hiphop ni ule wa zaman. Ndio maana mm hua naona alikiba toka atoe single boy hajatoa tena nyimbo nzur(my view) nasikiliza nyimbo zake za nyuma tu
 
Basi nimechanganya madawa hapo, itakua alichukua tuzo ya The Headies. Unampata yule dogo aliyeimba na Khuli chana kwenye Hape la Hape, akashilikishwa na AKA kwenye All eyes on you
Da Les Mkuu...

Nilimkubali sana kwenye Hape la Hape na verse ya mwisho kwenye All eyes on me.

Pia ana nyimbo ft Ricky Rick ni nzuri sana.
 
Hip hop ni mziki mzuri.

Umenikumbusha hawa tribe called quest na track yao I lost my wallet in El segundo hahaha kitambo hicho.
Hahahaha...

Tip aliua sana kwa hiyo Track na Phife Dawg.
 
Da Les Mkuu...

Nilimkubali sana kwenye Hape la Hape na verse ya mwisho kwenye All eyes on me.

Pia ana nyimbo ft Ricky Rick ni nzuri sana.
Duu sasa hv nimepunguza momentum ya kufatili, umeusikia wimbo wa Kwesta ft Cassper unaitwa Ngud'
 
Nakuunga mkono mkuu, mziki wa bongo hasa hiphop ni ule wa zaman. Ndio maana mm hua naona alikiba toka atoe single boy hajatoa tena nyimbo nzur(my view) nasikiliza nyimbo zake za nyuma tu
Sometimes huwa nafikiri labda umri ndiyo umeenda nimeshindwa kustep na vijana nini...

Bonta na nikk mbishi ndiyo watu naowatolea mifano kila siku. ...

Mbishi wa alhamdulilah sio mbishi wa kwanini.
Mbishi wa nyakati sio mbishi wa babu talent.

Au bonta wa nauza kura yangu au wa mktaba sio bonta wa mauwongo.

Kidogo mbwa mzee amebadilika ila hajapoteza ladha yake.
 
Kwenye Run jozi AKA alifichwa. Ila AKA anaswagga zake.

Kama aliyoimba na diamond aka kamficha jamaa saana. Pia ile remix ya re'up kawaficha emtee na mwenzake.
Run jozi hainichoshi kusikiliza pamoja na caracara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…