Starehe yako ni ipi?

Kwenye Word,Don Jazzy alipiga beat zito na ndio liliwabeba.

Pia Lyrical AKA na Ice Prince walijipanga.
 
Nasapot asilimia 500 wamekopi kila kitu kwenye caracara
 
Ila wakuu ukiwa shabiki wa mziki unaweza kutofautisha gifted artists na wale wanaofanya game kisa wamekosa mishe za kufanya.
Ndio kabisa unaweza kutofautisha it's simple
 
Track inaitwa reunion by slum village itafuteni msikie...siku joh anahojiwa anasema ni idea walitengeneza eti ikatokea zimefanana tu. [emoji23][emoji23]
 
Track inaitwa reunion by slum village itafuteni msikie...siku joh anahojiwa anasema ni idea walitengeneza eti ikatokea zimefanana tu. [emoji23][emoji23]
Ww unahisi angesemaje sasa, lazima angesema hivyo
 
Hakika Mkuu...

Kibongobongo napenda mziki wa Fid na vijana wa tamaduni(Nikki Mbishi,Songa,P the Mc) na wengine wachache wanaofata misingi ya hip-hop.

Tatizo linalokuja ni kwamba hata hao tunaowafatilia sometimes wanayumba vibaya.

Nikki Mbishi wa Kijusi sio huyu wa Kwa nini.

Songa wa Usiku sio wa Mwendo.

Wachache wamebaki kumaintain ladha zile zile mfano Fid na Nash MC.
 
Duu sasa hv nimepunguza momentum ya kufatili, umeusikia wimbo wa Kwesta ft Cassper unaitwa Ngud'
Mkuu hii sijaicheki...

But Asante kwa kunijulisha mpaka asubuhi ntakua nimeshaitazama.
 
Sure....
Sema lakini mwisho wa siku unakuta na wao wanataka kuuza. .wanaamua kuchange akichange anaonekana ha fit mwisho wa siku anabaki kuhang kwenye game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…