Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

AKA
Look how I put map of my city in the world.....

sema nimesahau lyrics coz sijui majukumu ndiyo yameongezeka siku hizi nimekuwa mzembe kufuatilia hiphop mkuu.

Bongo miaka ya 2008 9 10 11 12 13 walikuwa wanafanya vizur (maoni yangu) ila now wanazingua.

Chukulia mtu kama Bonta ujue huyu jamaa alikuwa na trend nzuri ya hiphop ila sijui alikuja kubugi wapi
Kwenye Word,Don Jazzy alipiga beat zito na ndio liliwabeba.

Pia Lyrical AKA na Ice Prince walijipanga.
 
Hahahaha....

Utaniambia nyimbo gani ya K.O nisiijue... Ila hiyo na Nandi Mngoma a.k.a Gangster Love ni kiboko.

Nimeona hii nyimbo ya G Nako na Jux wameiga video ya K.O ft Kid X Caracara.

AKA anaujua mziki wa huyu kijana... Kafunikwa kwenye Run Jozi mpaka God`s will.
Nasapot asilimia 500 wamekopi kila kitu kwenye caracara
 
Ila wakuu ukiwa shabiki wa mziki unaweza kutofautisha gifted artists na wale wanaofanya game kisa wamekosa mishe za kufanya.
Ndio kabisa unaweza kutofautisha it's simple
 
Track inaitwa reunion by slum village itafuteni msikie...siku joh anahojiwa anasema ni idea walitengeneza eti ikatokea zimefanana tu. [emoji23][emoji23]
 
Track inaitwa reunion by slum village itafuteni msikie...siku joh anahojiwa anasema ni idea walitengeneza eti ikatokea zimefanana tu. [emoji23][emoji23]
Ww unahisi angesemaje sasa, lazima angesema hivyo
 
Sometimes huwa nafikiri labda umri ndiyo umeenda nimeshindwa kustep na vijana nini...

Bonta na nikk mbishi ndiyo watu naowatolea mifano kila siku. ...

Mbishi wa alhamdulilah sio mbishi wa kwanini.
Mbishi wa nyakati sio mbishi wa babu talent.

Au bonta wa nauza kura yangu au wa mktaba sio bonta wa mauwongo.

Kidogo mbwa mzee amebadilika ila hajapoteza ladha yake.
Hakika Mkuu...

Kibongobongo napenda mziki wa Fid na vijana wa tamaduni(Nikki Mbishi,Songa,P the Mc) na wengine wachache wanaofata misingi ya hip-hop.

Tatizo linalokuja ni kwamba hata hao tunaowafatilia sometimes wanayumba vibaya.

Nikki Mbishi wa Kijusi sio huyu wa Kwa nini.

Songa wa Usiku sio wa Mwendo.

Wachache wamebaki kumaintain ladha zile zile mfano Fid na Nash MC.
 
Duu sasa hv nimepunguza momentum ya kufatili, umeusikia wimbo wa Kwesta ft Cassper unaitwa Ngud'
Mkuu hii sijaicheki...

But Asante kwa kunijulisha mpaka asubuhi ntakua nimeshaitazama.
 
Hakika Mkuu...

Kibongobongo napenda mziki wa Fid na vijana wa tamaduni(Nikki Mbishi,Songa,P the Mc) na wengine wachache wanaofata misingi ya hip-hop.

Tatizo linalokuja ni kwamba hata hao tunaowafatilia sometimes wanayumba vibaya.

Nikki Mbishi wa Kijusi sio huyu wa Kwa nini.

Songa wa Usiku sio wa Mwendo.

Wachache wamebaki kumaintain ladha zile zile mfano Fid na Nash MC.
Sure....
Sema lakini mwisho wa siku unakuta na wao wanataka kuuza. .wanaamua kuchange akichange anaonekana ha fit mwisho wa siku anabaki kuhang kwenye game.
 
Back
Top Bottom