Hip hop bongo ngumu sana acheni tu wabadilikeHakika Mkuu...
Kibongobongo napenda mziki wa Fid na vijana wa tamaduni(Nikki Mbishi,Songa,P the Mc) na wengine wachache wanaofata misingi ya hip-hop.
Tatizo linalokuja ni kwamba hata hao tunaowafatilia sometimes wanayumba vibaya.
Nikki Mbishi wa Kijusi sio huyu wa Kwa nini.
Songa wa Usiku sio wa Mwendo.
Wachache wamebaki kumaintain ladha zile zile mfano Fid na Nash MC.
Aisee huyo kwesta balaa sauti nzito kama anaimbia mtungini halafu anaimba taratibu tam sana. NinaipendaMkuu hii sijaicheki...
But Asante kwa kunijulisha mpaka asubuhi ntakua nimeshaitazama.
Aisee...Track inaitwa reunion by slum village itafuteni msikie...siku joh anahojiwa anasema ni idea walitengeneza eti ikatokea zimefanana tu. [emoji23][emoji23]
Mkuu Director mpaka kwenye beat?...Acha tu wakopi, uwezo wa madirector wetu mdogo sana kwenye suala la ubunifu
Ishu sio kubadilika ila nikuimba mziki wenye ladha nzuri na wa genre ile ile.Hip hop bongo ngumu sana acheni tu wabadilike
Maana hata Roma wa mathematics sio wa kila kitu K
Aisee namm ngoja niupunyue tu maana jicho linawasha kabisaWakuu I'm out aseeh
Yeah...Sure....
Sema lakini mwisho wa siku unakuta na wao wanataka kuuza. .wanaamua kuchange akichange anaonekana ha fit mwisho wa siku anabaki kuhang kwenye game.
Mkuu Kwesta nampata vizuri... Sauti nzito ya kukoroma.Aisee huyo kwesta balaa sauti nzito kama anaimbia mtungini halafu anaimba taratibu tam sana. Ninaipenda
Ni hiyo hiyo mkuu naipenda sanaMkuu Kwesta nampata vizuri... Sauti nzito ya kukoroma.
Ulivyoniambia hivyo umenikumbusha nilishawahi muona kwenye nyimbo moja tu na Cassper Nyovest.
Kuna mademu kibao hivi?... Kwesta kuna scene yupo nje kuna magari na mademu?...
Nadhani ni hiyo Ila ntaicheki kabla ya monie.
Me Napenda Kutumia vilevi vikali..pincer Vodka,Smirnoff,jamesDaniel..Nikitumia hivi nakuwa stressed off kabisa..na nalala Vizuri kabisa
hawajambo sanaWachaga hamjambo
iyo ya kuvuta ni yako hivi mlilala kweli janaAseeeeh ivute vizuri
ugoya ndio nini....lolStarehe zako nyepesi kama ugoya wa kuku.