Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Hakika Mkuu...

Kibongobongo napenda mziki wa Fid na vijana wa tamaduni(Nikki Mbishi,Songa,P the Mc) na wengine wachache wanaofata misingi ya hip-hop.

Tatizo linalokuja ni kwamba hata hao tunaowafatilia sometimes wanayumba vibaya.

Nikki Mbishi wa Kijusi sio huyu wa Kwa nini.

Songa wa Usiku sio wa Mwendo.

Wachache wamebaki kumaintain ladha zile zile mfano Fid na Nash MC.
Hip hop bongo ngumu sana acheni tu wabadilike
Maana hata Roma wa mathematics sio wa kila kitu K
 
Track inaitwa reunion by slum village itafuteni msikie...siku joh anahojiwa anasema ni idea walitengeneza eti ikatokea zimefanana tu. [emoji23][emoji23]
Aisee...

Halafu hapo ndio anategemea kupeleka mziki kimataifa.

Ubunifu maMc wa bongo hawana kabisa.
 
Hip hop bongo ngumu sana acheni tu wabadilike
Maana hata Roma wa mathematics sio wa kila kitu K
Ishu sio kubadilika ila nikuimba mziki wenye ladha nzuri na wa genre ile ile.

Nitatolea mfano nas.

Nas aliyeimba affirmative action in 90's nilimsikiliza alipokuja 2006 akaimba hip hop is dead nilimsikiliza tena 2010 alipoimba patience nilimsikiliza.

But Bonta wa mauwongo siwezi nikakaa nikamsikiliza ila bonta wa leta baadae nitamsikiliza.
 
Sure....
Sema lakini mwisho wa siku unakuta na wao wanataka kuuza. .wanaamua kuchange akichange anaonekana ha fit mwisho wa siku anabaki kuhang kwenye game.
Yeah...

Pesa ni muhimu hivyo inawalazimu wachange.

Nampenda sana Kendrick Lamar since ameweza kuingiza old school flavor kwenye new school na still anachukua tuzo kibao.

Obama aliulizwa ataje maMc anaowakubali akajibu "nampenda drake na najua wasichana wanampenda lakini Kendrick Lamar ndie MC bora kwa mda huu ulimwenguni pamoja na Chance the Rapper,hawa vijana wanafanya vizuri sana"

Bonta alikua bora sana lakini upepo wa game umembadilisha...

Lakini licha ya kuchange wanabaki vile vile financial.
 
Aisee huyo kwesta balaa sauti nzito kama anaimbia mtungini halafu anaimba taratibu tam sana. Ninaipenda
Mkuu Kwesta nampata vizuri... Sauti nzito ya kukoroma.

Ulivyoniambia hivyo umenikumbusha nilishawahi muona kwenye nyimbo moja tu na Cassper Nyovest.

Kuna mademu kibao hivi?... Kwesta kuna scene yupo nje kuna magari na mademu?...

Nadhani ni hiyo Ila ntaicheki kabla ya monie.
 
Mkuu Kwesta nampata vizuri... Sauti nzito ya kukoroma.

Ulivyoniambia hivyo umenikumbusha nilishawahi muona kwenye nyimbo moja tu na Cassper Nyovest.

Kuna mademu kibao hivi?... Kwesta kuna scene yupo nje kuna magari na mademu?...

Nadhani ni hiyo Ila ntaicheki kabla ya monie.
Ni hiyo hiyo mkuu naipenda sana
 
Muziki kuucheza na kuusikiliza kula mahanjumat ya kibongo, kusafiri hasa wakati wa likizo, kuangalia movies, kuangalia mpira wa miguu na michezo mingine mbali mbali kama Tennis, mbio, car race, basketball etc.

 
Me Napenda Kutumia vilevi vikali..pincer Vodka,Smirnoff,jamesDaniel..Nikitumia hivi nakuwa stressed off kabisa..na nalala Vizuri kabisa

Finally itakuwa pale utakapoambiwa ini limevimba linafeli.
 
mm starehe yangu ni kumuona bashiiiiiiite akilia yan karoho kana furah sanaaaa#dab
 
Back
Top Bottom