Starehe yako ni ipi?

Me Napenda Kutumia vilevi vikali..pincer Vodka,Smirnoff,jamesDaniel..Nikitumia hivi nakuwa stressed off kabisa..na nalala Vizuri kabisa
 
Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Bado natafuta nyingine baada ya viroba kupigwa stop
 
Me Napenda Kutumia vilevi vikali..pincer Vodka,Smirnoff,jamesDaniel..Nikitumia hivi nakuwa stressed off kabisa..na nalala Vizuri kabisa
Sio sifa , utapungukiwa nguvu za kiume

Uwezo wako wa kufikiri utafifia ,uchumi utayumba.
 
Yaaah mm ni mdogo sana kwako

Ww umejiajiri/umeajiriwa mimi bado nasoma

Ww una kwako ila mm nina kwetu
Hujakosea, angalia usiishie kubambia.
Haya mambo tafuta pesa, yatakufuata wala hutayafuata. Kama unasoma jikunje haswaaa na uwe na malengo.
Starehe hazina mwisho na hakuna kuchelewa wala kutosheka. Chagua fungu jema, mengine yatakuja kijana
 
Inaonekana wewe ni mswahili sana eeh.

Mm binafsi napenda kusikiliza mziki wenye sauti ndogo kwa manufaa yangu bila kuwabugudhi wengine
inategemea mkuu kama unaishi uswahilini na umepanga chumba huna budi kusikiliza kimziki kidogo.
 
Sio sifa , utapungukiwa nguvu za kiume

Uwezo wako wa kufikiri utafifia ,uchumi utayumba.
Uchumi wangu uwezi kunyumba nakula vizuri na niko fit.Nafanya mazoezi na nguvu za kiume ninazo za kutosha.na siwezi Acha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…