Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Ni kama nimerogwa na muziki
 
Duh!

Kampani yako si wahuni na wahuni ndio nyimbo zao hizo sasa inakuwa kuwaje hapo?
Hakuna hata mmoja anayependa hizo nyimbo

Utakuwa unaongelea wahuni wa uswahilini labda wale wakabaji?
 
Mi napenda kuskiliza gospel songs swahili na English kupika na kuangalia movies Nigerian movies na any series movies
 
Hapana sijapanga wala siishi uswahilini
Ila sipendi kusikiliza mziki kwa sauti kuwa kwa sababu ni tabia ya kiswahili na ya kishamba
Aliekidanganya mziki mzito una makelele ni nani? utakuwa unasikiliza kinanda wewe[emoji38][emoji4]
 
Kuangalia mpira
Kusafiri
Kusoma hadithi
Na kusikiliza muziki
 
Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
tapatalk_1488873578481.jpeg
 
Kwel tupo tofauti,,,,nakua na amaaaaaaan sana nikipika home halaf mwanangu mmoja nanicheka baba leoooooo anapikaaa,anamsaidia mamaaa kupika.... Hua nainjoy sana... Na pia naweza chukua muda kuangalia muv kama nipo mwenyewe kuanzia asbhi mpka asubuh inayofuata kama sina ratiba nyingi
 
Mhuni ni mhuni tu hamna cha wa uswazi wala wakishua wote tabia zao ni moja.
Basi wahuni wangu wapo tofauti na hao
Au inawezekana mimi ndio nawaona ni wahuni ila sio
 
mimi napenda sana ganja for recreational and medicinal unaweza ukaniudhi to the maximum ila nikitoka nikachoma joint moja unaweza kushangaa nakuwa nimesahau ujinga wote na tutaendelea kuwa marafiki ila nikiwa na stress na nikakosa ganja you better stay away from me!
Hivi hamnaga emoj za Salute ?

Yes Rasta
 
Back
Top Bottom