Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Me nilienda na manzi wa kitasha na katika mualiko huu tulikuwa na ndugu zake...... Alilipia mwenyewe, ilitoka kama laki na themanini pale kwenye mgahawa wa merry brown
 
Sehemu zingine vitu hua ghali ili kuepusha vurugu,sio kila mtu na wa aina yeyote ile awe na uwezo wakuenda sehemu ile,nadhani hata kodi ya pango wanayolipa wafanyabiashara ni kubwa pia,Mkuu tembelea sehemu ambazo unazimudu huku ukiendelea kutafuta.
Ni kweli ukijaribu kutazama. Wanajaribu kufanya price discrimination ili kuipa hadhi hiyo sehemu. Hapo huwezi kutana na waswahili wa tandale kwa mtogole akina mwajuma ndala ndefu au akina shabani chogo au elia mwaposa, hapo unakaa na manzi unamsomesha anakuelewa. Unazungumza biashara na mtu mnaelewana anasign mkataba kabisa.

Huwezi fananisha na kukaa mgawaha wa kawaida ambao una inzi, wahudumu wenye ghubu, majitu ya kila aina humo ndani na fujo zote........

The higher the price the higher the quality of service.
 
kinachonishangaza ni namna jinsi watu wanavyo vaa pande za pale huwanajiuliza kama wametokea home kama jinsi walivyo au wanabadilisha nguo wakifika pale.
Kwa mtu ambae sio maeneo yake ya kujidai anaweza kwenda kavaa suti sababu anajaribu kublend na mazingira ambayo si yake kikawaida.

Ila kwa mzoefu wa kuwapo maeneo yale kuvaa casual ni kawaida. Watu ambao wameshi south africa, marekani, uingereza, canada hispania haya mambo ni kawaida.
 
Jamaa unapenda sifa sana.
 
Kuna dem m1 nilimtafuna pale fish fish,anajifanyaga kuvaa pete ya ndoa,wakat hata hajaolewa white hiv,mhudumu...jina linaanzia na H.mrembo hatar tatzo ni hyo kaz yake ndio ilinifanya nipige na kusepa,angekua na kaz nyingne ningehamia mazima..
Sasa kazi si ungemfungulia hata Biashara utulie nae sema hukumpenda
 
Kuna siku nilikula mishkaki ya elfu 20. Minne (4) @ 5,000/- aisee nilisikitika sana, hasa nilipofikiria kuwa hizo ni kilo karibu tatu ya nyama ambayo nyumbani kwangu wangekula kwa week nzima.
Nilikuwa bwaksi huku nikienjoy mziki, ghafla mood ilibadilika, nikaelekea Tabata baa ya mtaani kwangu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Daah pole sana, yote kwa yote yamepita hayo!!
 
Ndio maana mimi nimetoka mtaani kwangu muda huu ambako wanauza Budweiser moja elfu 5 ila hiki kiwanja nlichokuja wanauza Budweiser 2500/=

I'm disciplinede enough.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…