Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Hivi wakuu nyie mnawezaje kumudu bei za pale kuanzia vyakula mpaka vinywaji?
Kuna siku nimeuziwa glass ya juice ya pineapple 5000, mpka nikajicheka, nikauliza popcorn za chumvi eti 4000..wale watu sidhani kama wapo serious..
Imefika muda nikienda yale maeneo nakuwa mziko kutumia visenti vyangu, hivi nyie mnaokula pizza, bugger na kulewa pale samaki samaki mnaweza vipi? Au mnajitoa akili tu?
wateja wao wa kudumu ni wanafunzi wa UDSM, wakipata mkopo kila semista ndio pahala pa kutumbulia fedha zao.
PIa watu wa mkoani ndio sehemu ya kwenda pigia picha, lakini pia watu na fedha zao, kama wewe kwako 5000 ni kubwa mwenzio hiyo anatoa tip kwa muosha magari .
 
M/city haina uzuri wowote, samaki samaki pia ni yakawaida sana. Nimekula chips samaki pale mara kadhaa na juice, bei zao ni za wastani kwangu mimi, sio ghali na wala sio rahisi kivile. Mara ya mwisho kuwa pale tulikuwa na kampani ya Lugumi na alitoa ofa kwa wadada waliokuwa pale mida ya saa kumi na moja hivi jioni. Ingawa Lugumi hakuwa na kawaida ya kunywa whisky ama beer kutoka bar, mabaunsa wake walikuwa wanashuka na vinywaji kutoka kwenye msafara wake ndio alikuwa anakunywa hivyo. Wakuu muwe mnatembea na kuingia sehemu expensive walau mara tano kwa mwaka. Sasa mkuu ukienda Moyo Kitchen ama Coral Ridge Spur si ndo utazimia kabisa wewe, Maisha mafupi wakuu tembeeni musipige mahesabu sana.
Moyo kitchen ni sebuleni kwangu
 
Huwa unapenda sana kusema"ila yule dada mzuri" ...sionagi wanawake wakideclear hili,kwako wewe imewezekana vipi?
Sina roho mbaya na unafiki mkuu...kingine kama na mimi nasifiwa na wengine na mimi inabidi nirudishe fadhila...

Ila umenichekesha sana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sina roho mbaya na unafiki mkuu...kingine kama na mimi nasifiwa na wengine na mimi inabidi nirudishe fadhila...

Ila umenichekesha sana[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3]..moyo mzuri endelea nao.

Nimekuchekesha na nini Witt?
 
[emoji3][emoji3]..moyo mzuri endelea nao.

Nimekuchekesha na nini Witt?
Kwa sababu hiki ulichoniambia watu wengi huwa wananiuliza? Iweje mimi naweza kumsifia mdada while wanawake wengi hawapendi kumsifia mwanamke mwenzao!

Nawaambia hao hawana malezi mema[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]
 
That's good..keep it up mrembo
 
Back
Top Bottom