Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

kinachonishangaza ni namna jinsi watu wanavyo vaa pande za pale huwanajiuliza kama wametokea home kama jinsi walivyo au wanabadilisha nguo wakifika pale.
[emoji23][emoji23][emoji28]
 
wateja wao wa kudumu ni wanafunzi wa UDSM, wakipata mkopo kila semista ndio pahala pa kutumbulia fedha zao.
PIa watu wa mkoani ndio sehemu ya kwenda pigia picha, lakini pia watu na fedha zao, kama wewe kwako 5000 ni kubwa mwenzio hiyo anatoa tip kwa muosha magari .
 
Moyo kitchen ni sebuleni kwangu
 
Huwa unapenda sana kusema"ila yule dada mzuri" ...sionagi wanawake wakideclear hili,kwako wewe imewezekana vipi?
Sina roho mbaya na unafiki mkuu...kingine kama na mimi nasifiwa na wengine na mimi inabidi nirudishe fadhila...

Ila umenichekesha sana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sina roho mbaya na unafiki mkuu...kingine kama na mimi nasifiwa na wengine na mimi inabidi nirudishe fadhila...

Ila umenichekesha sana[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3]..moyo mzuri endelea nao.

Nimekuchekesha na nini Witt?
 
[emoji3][emoji3]..moyo mzuri endelea nao.

Nimekuchekesha na nini Witt?
Kwa sababu hiki ulichoniambia watu wengi huwa wananiuliza? Iweje mimi naweza kumsifia mdada while wanawake wengi hawapendi kumsifia mwanamke mwenzao!

Nawaambia hao hawana malezi mema[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]
 
That's good..keep it up mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…