Starehe zamponza Okrah

Starehe zamponza Okrah

Sio, mfuatiliaji sana, wa maisha binafsi ya mchezaji lakini nitakuwa, wa, mwisho kuamini kuwa ulevi ndo sababu, ya kushuka kwa kiwango Chake na kupelekea kuvunjwa kwa mkataba wake.
Unamkumbuka hasheem thabit??? Unajua aliondoka kwenye timu kwa sababu gani??
 
Yanga ya sasa siyo zoazoa, usifananishe Yanga hii na vitu vya kipuuzi.
Nilishawahi kukuambia kuwa home neno Matola ni vile viazi utamu vilivyo kaushwa kwa ajili ya kutumiwa msimu wa kiangazi.

Wewe ukaamua kuiongezea Dr& PhD ukadhani unaikwepa asili

Pichani hapa chini ndio Matola sasa

1704048138531.png
 
Mtakuja kuaibika siku ambayo mnasikia Okrah amesainiwa

Maana hadi kwa Morrison mlikuja na hoja hiyo hiyo tena kipindi kile mlisema hamrudii matapishi.
Hahahahaha can't believe I said this.....
 
Mchezaji wa kombe la dunia mbona imekuwa mapema hivyo au tulipigwa wana mthimbazi wenzangu??? But ikawe ndo tumejifunza kuwa maneno bila viteno ni kama safari ya mwehu.. Ahmadi ally alimsifu sana huyu jamaa . nawaomba wana THIMBA mleten tena mchezaji wa UEFA
Yuko kwenu sasa pigeni dodoki
 
Back
Top Bottom