Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Unamkumbuka hasheem thabit??? Unajua aliondoka kwenye timu kwa sababu gani??Sio, mfuatiliaji sana, wa maisha binafsi ya mchezaji lakini nitakuwa, wa, mwisho kuamini kuwa ulevi ndo sababu, ya kushuka kwa kiwango Chake na kupelekea kuvunjwa kwa mkataba wake.