Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #621
Niku gusie nini??, Au ndo KU shareπ€£π.Nigusie kama itawezekana
Nimecheki nimeona sikuelewi. Ebu nicheki tena.Niku gusie nini??, Au ndo KU shareπ€£π.
π Cheki Google, ila upate cracked.
Niku cheki ???Nimecheki nimeona sikuelewi. Ebu nicheki tena.
Karibu mi nimechelewaTayana nime fika, ulipo nambiaππ€
Kaka za JumapiliKaka Kama una external kubwa, itume kwangu nikupe mzigo nilio nao.
πNina series nyingi mno, so uta pata kwa kuanziaπͺπ€£
Hizo za Madj naanzaje kuangalia...Ziwe hazija tafasiriwa Sasaπ€£π, halafu pc yako Ina storage ukubwa upiπ€£.
πMaana elfu 48 ni series ka 30 tuπ€£π,
Nili ondoka, maana huku nijibuKaribu mi nimechelewa
Nimefika sa Saba na nusu
Na baba eti kashasimama Muda
Kuna program Ina itwa I care, ya kurudisha kila kitu.Hizo za Madj naanzaje kuangalia...
Kuna jamaa telegram ana cracked app ngoja nikachek kama anayoI care, na iobit upate zilizo cracked.
Ngoja niijaribu hii kaka shukran sanaKuna program Ina itwa I care, ya kurudisha kila kitu.
Hata Google ipoKuna jamaa telegram ana cracked app ngoja nikachek kama anayo
Sawa kaka nitakupa mrejeshoHata Google ipo
PoaSawa kaka nitakupa mrejesho
Makini bro vipi?Oya nusu albino Half american niaje π€£π
Kama kawa, nusu albinoo ππ€Makini bro vipi?
Maelekezo?Kama kawa, nusu albinoo ππ€
Mkuu naona mambo mazuri π