Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #581
Nili peleka pc kwa fundi, aka ua kioo usiku siku lala 😃🤣.Mie nilangushaga PC nilikuwa kwenye bodaboda nafika home kuwasha haiwaki nililia kama mtoto halafu mzigo ulikuwa mpya nimetoka nao kariakoo nililia sana 😂😁
👉Japo ali ni compeeate kioo chenye damage kidogo🤣