Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Siku zote huwa ananiomba nimrushie siku hiyo alijikuta fundi kachukua mwenyewe kurusha.. flash yake ndogo kwenda kufuta folder la movie kwenye Flash akachanganya akafuta kwenye Pc....

Na vile folder lilivyokuwa kubwa Recycle Bin wakaona hawezi kazi😃
Mkuu tumia hizi software kurudisha data zako zote zilizofutika ila unalipia 24usd yaani dollar 24 Download Recuva | Recover deleted files, free!

Mkuu tumia hizi software kurudisha data zako zote zilizofutika ila unalipia 24usd yaani dollar 24 Download Recuva | Recover deleted files, free!

Selikavu Ina tegemea kama uli back up akaunti, SI Bora uweke bando tu😃🤣🙄
 
Asante sana Mkuu😃
Hapo nalud nawaza nifike home fasta nimalizie animation moja ya kijapan inatwa ippo Makonouchi nilikuwa nimefika patam kwel nawasha Pc naenda kwenye local disk nakuta mbona space ipo kubwa hivi😃 kuingia ndani folder halipo😅

Hapo nikajua kumbe mapenzi hayaumi kabisa Yani 😅😅😅
Polee kaka 😂😂🤣😁
 
Nioshwe tena 🤔🙄🤣🤣, aisee ila ntakuwa na mabeki 3 kumi angalau nipone 😃😃
Kuna hatua fulani, itabidi mtu mwenye utu ndio akuhudumie, kwa asilimia kubwa huwa tunaamini ni yule aliyekaribu na wewe mfano:- mke, watoto, ndugu n.k; wakati mwingine ndugu wanazingua. Hapo umejiandaaje?
 
Ma beki 3 ni ma best zangu wa kike 🤣😃, wale royal kabisa.
👉So unyama ni mwingi mwaisa😃🤣
 
Back
Top Bottom