Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salute bro, chama kidumu.U R not alone brother 👊👊
Kwel mkuu nijitulize tuu😃ngoja nishushe ila baadhi ninazo ulinipa...Kakuweza aisee🤣😃😃, pole sana.
Ila jitulize kwa kusikiliza ost hizi
1, When the wind blows by Nirvana in fire.
2, watching over you - jeong sewoon(alchemy of souls).
3, Good day - melo mance (Mr sunshine).
4, can you hear my heart (no rap ndo nzuri)- kolay ( scarlet heart).
5, when I close your eyes - bonggu (when the river rises).
adriz, Selikavu, Numbisa, Khantwe, Franky Samuel, Mvaa Kobazi enjoy hizo nyimbo nzuri
Siku zote huwa ananiomba nimrushie siku hiyo alijikuta fundi kachukua mwenyewe kurusha.. flash yake ndogo kwenda kufuta folder la movie kwenye Flash akachanganya akafuta kwenye Pc....Kwanini mnatumia flash zinazofanana bila hata kuziwekea holder?
Pamoja Kaka, ngoja nizidi kutafuta hela .Sawaa mkuu🙏
Kweli kaka😃👐itakuwa vibe sanaaaPamoja Kaka, ngoja nizidi kutafuta hela .
👉Nije niwape invitation watazama series wote, mje holiday kwangu🤣😃🤒
I have carefully noticed. Thank you.I mean no malice to nobody
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆 pole sana aiseeSiku zote huwa ananiomba nimrushie siku hiyo alijikuta fundi kachukua mwenyewe kurusha.. flash yake ndogo kwenda kufuta folder la movie kwenye Flash akachanganya akafuta kwenye Pc....
Na vile folder lilivyokuwa kubwa Recycle Bin wakaona hawezi kazi😃
Hapo mdau wa soju labda braza Charles kilianSitumii hizo mbanga mie
Cc Selikavu